Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,208
Sifikiri watu wote wanatabia zinazofanana. Chamsingi muombee mwenzako apate mme mwema na si kufikiri kuwa alichopata mdogo wako na yeye atapata.dah! yani story yako ni kama ya mdogo wangu alidanganywa hivohivo tulimkanya hakusikia na ilamua kuondoka nyumban yaani yaliyomkuta anajuta sasa hiv yani watoto kama nyie mnauzi sana dah! ngoja nikae kimya nisije nikatukana
Bora angalau angekua chuo lakin mtoto wa A level anafikiria kuolewa aiseee hapana mm simshauri afanye hivoSifikiri watu wote wanatabia zinazofanana. Chamsingi muombee mwenzako apate mme mwema na si kufikiri kuwa alichopata mdogo wako na yeye atapata.
mwanamke ukiwa maskini ni upumbavu wako mwenyeweShikamoo wakubwa,
Mimi ni binti mkubwa kiasi nimemaliza form six mwaka huu, kuna huyu kaka jamani yeye ana miaka 31,yaani amengangania anioe sasa mimi nashindwa tutaishije, nilishafika kwake hata kitanda hana analala chini, bado anatafuta kazi, ananiambia nikubali tufanye harusi zawadi tutakazopata tutaanzia maisha halafu akipata kazi atanisomesha yeye chuo.
Nishauri mlioolewa na nyie mlianza kulala chini kama mimi.
We ndo mjanja. Nami nimetafuta kwanza mali sasa natafuta wa kuoa.Ngoja wanaopenda kwa dhati ktk shida na raha waje...mi nlitakaga ready made
Kaolewe tu dada yangu.Shikamoo wakubwa,
Mimi ni binti mkubwa kiasi nimemaliza form six mwaka huu, kuna huyu kaka jamani yeye ana miaka 31,yaani amengangania anioe sasa mimi nashindwa tutaishije, nilishafika kwake hata kitanda hana analala chini, bado anatafuta kazi, ananiambia nikubali tufanye harusi zawadi tutakazopata tutaanzia maisha halafu akipata kazi atanisomesha yeye chuo.
Nishauri mlioolewa na nyie mlianza kulala chini kama mimi.
AaaaaaaahNa wewe mdanganye ili asikuoe
Ahsanteni wote nitaolewa nitamvumilia tu,ila naogopa rafiki zangu wakijua hata hatuna kitanda si watanicheka jamani
Just let the dreamer go. Unless unataka kuchakazwaShikamoo wakubwa,
Mimi ni binti mkubwa kiasi nimemaliza form six mwaka huu, kuna huyu kaka jamani yeye ana miaka 31,yaani amengangania anioe sasa mimi nashindwa tutaishije, nilishafika kwake hata kitanda hana analala chini, bado anatafuta kazi, ananiambia nikubali tufanye harusi zawadi tutakazopata tutaanzia maisha halafu akipata kazi atanisomesha yeye chuo.
Nishauri mlioolewa na nyie mlianza kulala chini kama mimi.
=KILAZABongo lala + bongo chemka=?
Sasa wewe Anna unataka kitanda au mshedede?coz unaweza kuolewa na tajiri halafu pipi mti hana,halafu houseboy ndio atakupa pipi mti,je hivyo ndo unataka/Ahsanteni wote nitaolewa nitamvumilia tu,ila naogopa rafiki zangu wakijua hata hatuna kitanda si watanicheka jamani