Ananidanganya ili anioe

Km anakupenda kwa dhat mali si tatizo.Mali zinatafutwa lkn upendo wa dhat hautafutwi lkn angalia moyo wako unasemaje ili baadae usije juta. Km amekuambia mfunge ndoa huyo anakupenda kwa dhati.Mm na wif yako tulianza kulala kweny godoro lkn sasa tupo mbali. Cha ms
 
duu kwakuwa umesema wakushauri walioolewa basi cc wakiume tunasoma tu nakusepa,ingawa kuna wanaume wengine wametoa ushauri hapa..............................................................ila wasikilize na wao
 
Miaka 31 hana hata kitanda ,,?? Analala chini?? Miaka yote hiyo alikuwa anafanya nn?? Pima IQ ya mumeo mtarajiwa pia ,sidhani kama mwanamume timamu kabisa miaka zaidi ya 30 hana hata kitanda halafu anakuahidi kukusomesha
Ameniambia alikuwa anakaa nyumbani kwao ndio anaanza maisha peke yake na hataki kutoka na vitu nyumbani kwao tutanunua vya kwetu
 
Wewe binti hutujui sisi wanaume wewe, dunia haijawahi kuwa rahisi hata siku moja, you should fight on your own!!.....Kumkubalia jamaa ni kutake pure risk and you will suffer enormously, natamani umkubalie jamaa halafu utaikumbuka hii comment yangu milele!
 
Ameniambia alikuwa anakaa nyumbani kwao ndio anaanza maisha peke yake na hataki kutoka na vitu nyumbani kwao tutanunua vya kwetu
Hahahaaa,hamna MUME hapo dadaangu,hadi miaka 31 alikuwa anaishi kwako,tena inavyoonesha amefukuzwa ameambiwa akajitegemee vinginevyo mtu timamu kabisa haanzi hivyo maisha,huwa anajipanga,ananunua kitanda akiwa home,Ka redio ,akiridhika ndo anaenda kupanga,sasa huyo hyo style yake ya mwendo kasi,mwambie ajipange kwanza,,maisha hayo hayapo siku hizi..na ww tengeneza future yako mwenyewe usitegemee kusomeshwa naye ,,
 
Mkuu una akili sana....katika ushauri wote alopewa na wadau she should stick here (if it's true story)
 
Hebu kasome kwanza mapenzi yapo, usiumize kichwa mwambie wakati wako bado kama ana nia akusubiri umalize masomo
 
Kama umempenda huna budi kukubaliana na Yale maisha anayoishi,mambo mengine yatakuja baadae.
 
We bado hujakua. Unawaza rafiki zako watakucheka. Bado hujakomaa kuolewa. Tafuta boyfriend msogeze muda kama hamu zinakusumbua
 
Issue sio kulala chini wala kuolewa ni kujua unataka nini na kwa wakati gani.

Bado mdogo usitamani maembe kabla ya msim wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…