[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Shikamoo wakubwa,Mimi ni binti mkubwa kiasi nimemaliza form six mwaka huu kuna huyu kaka jamani yeye ana miaka 31yaani amengangania anioe sasa Mimi nashindwa tutaishije nilishafika kwake hats kitanda hana analala chini bado anatafuta Kazi ananiambia nikubali tufanye harusi zawadi tutakazopata tutaanzia maisha halafu akipata Kazi atanisomesha yeye chuo.nishauri mlioolewa na nyie mlianza kulala chini kama Mimi.
Teh teh teh hujapenda wewe, maisha sio vitu ni upendo kama wampenda hata uji mtakunywa na mtaishi
Teh teh teh hujapenda wewe, maisha sio vitu ni upendo kama wampenda hata uji mtakunywa na mtaishi
mbavu zangu mieBongo lala + bongo chemka=?
Lakin ujue kunagharama pia ya kuolewa na mtu hana hata kitandani.kwahiyo usiusikilize tu moyo tafakari pia.Ahsanteni wote nitaolewa nitamvumilia tu,ila naogopa rafiki zangu wakijua hata hatuna kitanda si watanicheka jamani
Nmekupenda bure, ila naomba nikuulze vp jamaa ako nae amesoma O n mission townAhsanteni wote nitaolewa nitamvumilia tu,ila naogopa rafiki zangu wakijua hata hatuna kitanda si watanicheka jamani