Ananiambia kama nampenda nibadili dini, Kwani mapenzi ni dini?

Mmmmhhhh....
Mbn waguna!??? Mwenzio nakupenda ila naogopa ,....Nina wivu mnoo, nilitamani babuu unisitiri ila unaonekana kicheche km kile kinachokula kuku alafu Nina wivu naweza nikakuloga ukichepuka jogoo asiwikee,,, kuliko tabu zote hizooo nimeona bora kachache tuuu hata kuku watakula babu Asprin huyoooo

Tena babu daby anavyokukubali utapita bure bila kutoa hata njiwa

cc: Daby
 
Duh... yani umeamua kunipiga chini hadharani namna hii??

Si bora ungenipigia PM tu??

Moyo wangu umepondekapondeka...
 
Duh... yani umeamua kunipiga chini hadharani namna hii??

Si bora ungenipigia PM tu??

Moyo wangu umepondekapondeka...
haya twende pm nijakumalizie kule, huo moyo vipi umekua boga lilipikwa ndiyo upondeke!???
 
haya twende pm nijakumalizie kule, huo moyo vipi umekua boga lilipikwa ndiyo upondeke!???
We sawa tu. Mi namuachia Mungu maana akili na uwezo wangu vimeshafika ukingoni.

Nakusubiri PM ukanizike kabisa....
 
Mwambie kma anakupenda kweli msibadili dini wote mtto wa kwanza aitwe Nusrat wa pili Abrahman
 
Twende kwenye thread ya chuchu... hapa tumevamia thread ya watu wenye dini zao...
yani babu wewe sikuwezi kwa kweli, alafu wew na Daby ni pipa na mfunikoo wew ndiyo unamfundisha kuwa na mabibi wengii ....kama mbegu za komamanga
 
Habari bests zangu jf...

Mojamoja kwa moja nielekee kwenye mada..
Kuna mtoto fulani shombe shombe fulani ivi rangi ya Kiarabu,ni dhehebu la Islamic...nimetokea kumpenda sana......,,,MIMI NI ROMAN
Tatizo lake ameniambia kama nampenda nibadirishe Dini ili mambo yaende vizuri..la sivyo itakuwa ngumu..

Nifanyeje ndugu zangu na moyo ndo ushapenda ivo..

Je nikibadilisha si ataniona bwege ?
Siyo atakuona Bwege je mapenzi yamekutawala kiasi gani hadi unamuasi Mungu!? Maana ya Dini ni njia na Yesu ndiye njia soma Yohana14:6 ASA wewe imekuaje kuacha njia kwaajili ya tamaa ya mwili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom