Ananiambia anataka


Ujinga nao ni haki ya kila mmoja ila ni wachache wanaililia...:thumbup:
 
Last edited by a moderator:
You are tired of that guy wewe ni mwanamke au mwanaume? au kingereza ni tatizo au umecopy sehemu? sorry yoo i pay too much attention to little details...
 
Huyo ana lake jambo nakuomba usitoe du
 
You are tired of that guy wewe ni mwanamke au mwanaume? au kingereza ni tatizo au umecopy sehemu? sorry yoo i pay too much attention to little details...

Mwanamke huyu anataka kucheza na akili za watu Anglia statement ya mwisho
 
Hahahaaaa yaan kanikumbusha mbali sana enzi zilee afu mimba yangu imekua ujue

Hahahaaa ...!!! Yote maisha lakini, tukiamua mimi na wewe tunaweza. Why not? 😉😉😉
 
zinc mambo vipi....?
 
Last edited by a moderator:
Wakaka hapa inabidi umakini uwepo wakati was tendo lenyewe wadada wengine wana dhamira potofu eti akibeba mimba ndo mwanaume atamuoa wakati mara nyingi hill swala haliko hivyo so tunazid kuongeza watoto wa mitaani na kuwalea watoto wetu kwenye maisha ya shida bila msaada wa huyo mhusika (baba) wasichana tuamke jamani.Life is a choice so the choice is yours akili kichwani
 
toka hii stori ianze naonaga kamaa mtoa mada ana akili taahira. anakataa mimba bila kuwa na sababu za msingi, sijui anafikiri kukataa mimba ni urijali!. mtoto akizaliwa na akijua ulikataa mimba uhusiano wenu utakuwaje?.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…