Ananiacha hoooiii!!! Lakini nasema shindwa shetani

Kama analipa na uko single why not......ama wewe ni lile kundi la tatu. Chengine ukifika anza kuhubiri......

Mimi nakuzimia longtime...kitambo...sasa sikuelewi msimamo wako siku zote hizi au ndo mpaka nipige magoti kama kule kwetu ndo utajuakweli nimekuzimia mydear?? I real fall in love with you period!!!!
 
"The formal organization is the organization beyond the informal officer "
Kwenye kazi kuna mahusiano zaidi ya kikazi ambayo yakitumika vizuri
yanaleta matunda mazuri na yakitumika vibaya ni shida kwenye organisation
tumia akili.
 
Kumbuka Condom wakati wote, coz wengi wetu huanza mapenzi kabla ya kupima VVU. Remember IDS it kills. Ameshajua wewe ni mteja hivyo lazima utafall then check mwenendo wako. All the best
 
ushakolea wewe usituendeshe,na si ajabu ushakaa ila unataka tukushauri tu kama ujiweke mazima ama vipi,babaa,kama mzigo unalipa jibinjue tu hapa kila mtu atakwambia lake,sasa utachukua lipi
 
kula mzigo huo mtoto wa kiume...utashangaa shangaa mpaka waku over take af uanze majungu mara ooh alintakaga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom