Ananiacha hoooiii!!! Lakini nasema shindwa shetani

hapa si suala la ndoa. Mbona tunapiga tu na ndoa zimesimama fresh hasa.
mapenzi kazini yanaleta matatitho.
yatatokea kama utakua hujiamini lbd unaogopa so kwa wafanyakazi wenzio ambao uliwabwaga unaona hauta kaa kwa amani lkn kama hauna mke au hauna demu uliye na malengo naye yanini uogope wakati kitu kim
eingia laini chenyewe bwana
 
Wanaume wengi hatujui kakataa, kawaida yetu kucheza kabla ya kipigiwa mziki, mwenzetu unapigiwa lkn uchezi!! Hii ajabu et! Binafsi mwanamke akitaka haijalishi yukoje lazima nipite naye.
 
Mpigie simu mwambie umepata dharura, siku nyingine wewe utawato out, alafu watasubiria hadi milele hiyo out.
 
if you're not married and single...nigga what yo waiting?
damn why chances kama hizo sizipati mie...!!
 
Ndugu yangu ukipata hisia hizo basi rudi home kwa Mkeo kabla mambo hayajaharibika


Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
u how kakwambia kaoa au unataka ziba rizk za watu bure, we mtoa thread nawe slow learner , namuaminia watu8 ye ndo anaelewa haraka hisia za wadada
 
MDADA: Unakunywa pombe?
MKAKA: Hapana
MDADA: Unavuta?
MKAKA: Hapana
MDADA: Una mademu?
MKAKA: Hapana MDADA: Sasa unajichanganyaje na washkaji?
MKAKA: Mi muongo ile mbaya

kama namuona vile kibosile wawatu anavohanya..
 
You are better than that bwana; umeoa?
Kama hujaoa na unapenda kwanini usimfikirie awe mchuchu? Kwani hujawa exposed na wadada wazuri? A real man ni Yule anayeweza kuhimili vishawishi na anayekuwa selective bwana.
 
jiepushe na madada wa aina hizi. Swali kama yeye anajilengesha hivyo je, wewe ni wa kwanza kwake? au alishajilengesha hata kwenye elimu yake aliyo nayo?
 
umeoa wewe? Kama jibu ni ndio, nenda na mkeo au mchumba wako, kama yeye atakavyo kujana na marafiki zake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom