Anang'ang'ania watoto wangu

Ndo madhara ya kuchepukachepuka, unamchumba bado wagawa kitumbua, awe tayari kudharirika na kuteseka toka kwa mumewe wa ndoa, DNA inamuita na siri imefichuka
 
Watoto wake?? Mshenzi mkubwa!!!!! Anajua bei ya panadol huyo, nani kakuambia kitanda kinazaa haramu... he might be a mere biological father... So what??? Machete.... Machete
 
Teh
upande mume upande mchepuko!!!!

Khaa! Eti bhana!

Au sisi ndio tumemuelewa vibaya huyu mleta mada? Sijawahi kukutana na sura za hivyo asee!

Dhambi ya kuchepuka inamtafuna huyo, aseme tu ukweli watoto ni wamchepuko ila ndio vile tena kitanda hakizai haramu kawashikisha kwa mpenzi wa ndoa!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Kwakweli wanawake wanatabu na wanadanganywa kupita kiasi

Mmmhhh
Hapana huu ni upumbavu
Ww una mtu ambae yupo committed halafu hyo wa pembeni wa nn?
Haya mbaya zaid bila kinga?
....kila kitu narudia tena kila kitu kinachofanyika(dhambi) lzm mhusika ailipie watu huwa hawaelewi somtym wanapokutwa na majanga wanasahau waliyoyafanya nyuma huko!....unless umeomba toba/rehema kwa Mungu ! She has to pay the price.dhambi=mauti, ndo hayo ss!...
Yaani kaniudhi (km ni kweli)
 
Huu uzi umenikumbusha uzi huu.

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/14047-mtoto-wa-nje-ya-ndoa.html
 

Nina mashaka na kisa hiki, hapo kwenye red unajenga hoja kwamba watoto ni wa mume wa rafiki yako kwani huyo wa kiume anafanana na babaye but hapo kwenye blue unatumbia tena watoto wanafanana na mpenzi wa zamani.
 

Mmh yaani hii mbona ni kazi kwa Kweli. Kwanza Napenda kumpa pole huyo mdogo wako kwa yanayomkuta sasa hivi . Hapa Mimi kazi yangu si kumjudge , whom am I to judge her? Bali ni kumpa Yale yaliyo moyoni wangu ..Kama tatizo kutokea limeshatokea now tutafanyaje?
Dear kwa upande wangu nafikiri amueke chini mumewe kwa utulivu, hamna jinsi , amuombe Mungu amtie nguvu za kufanya ,hata kufunga na afunge kwa nia hiyo na zingine . Hawezi kuficha ukweli anymore ,its time for her to come clean ,kwa mume wake. Na ninajua haitakuwa rahisi but kwa nguvu za Mungu kila kitu kinawezekana .

Baada ya hapo wapange na mumewe kama yeye na mumewe na hao watoto wakachukue DNA, bila kwanza ya kumuhusisha huyo Jamaa. Kwa sababu lolote litakalo kuja wakiwa wawili ,wataweza kujadiliana kama wanandoa na kujua kitu gani cha kufanya, . Hapa kinachotakiwa hawa wandoa wawe pamoja na kushirikiana na ili iwe hivyo Mdada inabidi afanye hivyo. Kuwa.pamoja kwao kutamvunja nguvu za kishetani za yule jamaa alizo nazo moyoni, aka chuki, jealous, pay back nakadhalika.

Ndugu kama ikishindakana hivi naomba uni pm tafadhali tujue whats next. Vyovyote mtakavyoamua hakikisha mdogo wako anakuja clean kwa mume wake, because He desserves to hear the truth no more lies please. Atubu kwa aliyoyafanya . In meantime jamani tuiombee hii familia ipate muongozo mwema. Poleni sana, sana na kila la heri my dear. Thanks!
 

Kwakweli mapenzi magumu
 
Ubaya wa mapacha wasiofanana wanaweza kuwa na baba tofauti na mimba zimetungwa mayai tofauti na muda wa kutungwa mimba umepishana.:-(
 
Ubaya wa mapacha wasiofanana wanaweza kuwa na baba tofauti na mimba zimetungwa mayai tofauti na muda wa kutungwa mimba umepishana.:-(

Naomba uniongezee shule hapa kidogo! Inakuwaje hiyo?

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
CARTER jibu lipo hapo hapo, mapacha wasiofanana ni kama kaka na dada wengine wowote ila tu wamekaa tumboni kipindi kimoja yaani kuna mmoja anaweza kumzidi mwenzie muda wa kutunga mimba hata wiki na zaidi lkn wakati wa kuzaliwa wakatoka wote. uwezekano wa mtu kutembea na mtu mwingine baada ya yai la kwanza kurutubishwa upo na iwapo kuna lingine limekomaa linaweza kurutubishwa na mbegu ya mwanaume mwingine: ni abnormality kutoa mayai mawili mwezi mmoja ila ndo ipo According to a researcher on multiple births.
 
hata mm najiuliza watoto wanafanana na baba 2 mhhh huu sasa ni uongo
 

shenzi type yaan kwa ili mm hata siulizi ushauri- anaelea watoto ndo baba watoto.limeona wamekuwa sasa linajileta.shenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…