Anamwambia Nini?

Jana ulikuwa unanipiga dongo ama unanisifia kiaina???
 
mkuu vipi afya yako wamekuambiaje huko!!!
 
Nashkuru Rais hujatoboa yote, jasho lilikuwa linanitoka. Ahsante sana.
 
Vipi mkulu ! Ukitoka hapa breki ya kwanza nchi gani ?!
(MEANWHILE: hii staili ya kukunja miguu hapo chini ya Mzee Mwinyi na Mkuu nimeipenda sana).

unaona sana wewe, vipi kuhusu sox?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ