Anamwambia Nini?

Ndugu mtalii karibu kwetu Tanzania bwana. Japo wewe si Mtanzania ila naona Bongo movie inakufaa sana wewe kwa usanii ulionao.

Mimi kiboko yako nimeona umeanza kunikubali sema tu kukiwa na watu unauwa soooo!!!
 
tundu ; naona na ustadhi mwenzio mmekunja miguu tafkiri mwasubiri biliani,,hehe
jk ; hehe acha zako mbona wew umekuja na magazeti kama mjumbe wa nyumba kumi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom