Anampenda mume watu na hawezi kumuacha

huko si kupenda ila ni uzezeta ... kwa nini aitafute wake ndo akapenda???

Kwani huyo nae ni mume wakupenda? Yaani kwa akili yake anajidanganya kabisa kapata mume? Na wenye waume waseme nini? Kwa taarifa yake huyo sio mume bali ni kipiga mashuti mchafua c.h....i!!
 
aminata angalia hiyo paragrapf ya mwisho hapo ..lol!! Mwambie rafiki yako awe makini na wanaume wenye mikono myepesi
 
Kwani huyo nae ni mume wakupenda? Yaani kwa akili yake anajidanganya kabisa kapata mume? Na wenye waume waseme nini? Kwa taarifa yake huyo sio mume bali ni kipiga mashuti mchafua c.h....i!!
haha
aaaaaaaaaaaaaaaaaaaa shot we mkali duh!
 
ndio kaja huyo mpya sasa na yuko tayari kukaa naye pamoja na huyo dogo wake wa 1 year ila shost anajickia vibaya kumtwika yule kaka kazi ya kumlea yy pamoja ma dogo while msure wake yuko wa mkidi wake sijui umenisoma hapo meeeeeeeeeeeeeeeeen

haaa si kapenda boga sasa kwa nini aanze ubaguzi wa kulea tena?
 
aminata angalia hiyo paragrapf ya mwisho hapo ..lol!! Mwambie rafiki yako awe makini na wanaume wenye mikono myepesi
duh! hapo hata mie nimeogopa sasa cjui alimaanisha nn sasa hapo mwe! vipigo vya ucku zaidi ya vya mchana
 
Kwani huyo nae ni mume wakupenda? Yaani kwa akili yake anajidanganya kabisa kapata mume? Na wenye waume waseme nini? Kwa taarifa yake huyo sio mume bali ni kipiga mashuti mchafua c.h....i!!

hahhahaha leo aminata utajuta kuleta hii mada yako hapa..utajuta na sijui utamwambiaje huyo rafiki yako mwe!!
 
mbona rahisi tu si anamwacha aende zake sa Kama jamaa ana pigs anakaa nae wa nini sida zikukute sio uzitafute
 
wote mmechangia but mmesahau kuona kitu kimoja hapa...

hawa ndo madaktari wetu wa siku hizi........
yaani eti wapo medical school......

wauguzi na madaktari wa siku hizi ndo hawa.....

watamshauri nini sasa mgonjwa atakaekwenda kuwaon na majeraha ya kupigwa
na mpenzi wake?
watamwambia avumilie ???/
 
sio udaku ni kweli sema mm nimekuuliza ivo koz umeniambia nilete na ugomvi wa pili mwe
 
nashukuru kwa kulion
a hilo
 
Ni kwa sababu nawahurumia sana binadamu wanaokosa self realization and awareness.......yaani hawajijui wao ni kina nani, wanahitaji nini na wanapaswa kufanya nini!! Hawajui kuwa wanadeserve happiness katika maisha yao! Dah!
nimekupenda mpz bure leo mana uko na moyo wa huruma sana endelea kua ivoivo the allmight god wil bless u more
 
hahhahaha leo aminata utajuta kuleta hii mada yako hapa..utajuta na sijui utamwambiaje huyo rafiki yako mwe!!

Hana haja ya kumwambia ye ampe tu thread asome mwenyewe! Lol! Ngoja basi niondoke nisije kera watu bure manake mi vitu vya hivi huwa sina mzaha navyo hata kidogo!
 
maaana hawatakawia kugombana kumbuka dhambi aifanyayo rafiki yako iko siku itamrudi
ina mana akiamua kukaa na huyo mtu
hadi anakufa wao ni zambi wanapata hata kama wakitubu na kumrudia muumba wao
 
Hana haja ya kumwambia ye ampe tu thread asome mwenyewe! Lol! Ngoja basi niondoke nisije kera watu bure manake mi vitu vya hivi huwa sina mzaha navyo hata kidogo!
usiondoke plz endelea kuniambia chochote unachofikiri bila kujali ataumia au lah plz she need to know
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…