Anamaanisha nini huyu Mwanamke

Leo wakati narudi nyumbani nimemkuta Mwanamke wangu anaangalia Tv sebuleni, nikamsalimia akakaa kimya.

Nimemuuliza shida ni nini, eti anasema "usilolijua ni sawa na usiku wa giza". Nimejaribu kumuuliza anamaanisha kitu gani ila akanikalia kimya.

Wakuu nimeshindwa kula, maana nahisi labda atakuwa kaniwekea vitu vya ajabu kwenye Chakula.

Kila nikimuuliza sababu ya yeye kubadilika ghafra ni nini hataki kusema. Naomba ushauri nifanyeje Wakuu.
Pole, ndivyo walivyo ungejitahidi akojoe 😂😂
 
Mpeleke akapime ujauzito wa bila kutegemea alioupata gesti, anajiuliza ukiujua atakuambia nini?
 
Leo wakati narudi nyumbani nimemkuta Mwanamke wangu anaangalia Tv sebuleni, nikamsalimia akakaa kimya.

Nimemuuliza shida ni nini, eti anasema "usilolijua ni sawa na usiku wa giza". Nimejaribu kumuuliza anamaanisha kitu gani ila akanikalia kimya.

Wakuu nimeshindwa kula, maana nahisi labda atakuwa kaniwekea vitu vya ajabu kwenye Chakula.

Kila nikimuuliza sababu ya yeye kubadilika ghafra ni nini hataki kusema. Naomba ushauri nifanyeje Wakuu.
Na wewe muache njia panda kwa kumwambia " Yaani nashukuru kuyajua haya mambo ulidhani sitajua. Kisha chukua simu yako jipigie kwenye simu nyingne bila yeye kujua. Kata simu lakini jifanye unaongea na mtu tena wakike, halafu jifanye unamsisitizia kuwa umkute pale pale. Kisha badili nguo yako ondoka lakini kabla hujaondoka simu yako Smartphone weka flight mode kisha weka voice recorder ficha karibu na alipo ondoka nenda ukale ukanywe. Ukirudi chukua earphones sicilia kilichoongelewa ukiwa haupo. Utayajua usiyoyajua.
 
Leo wakati narudi nyumbani nimemkuta Mwanamke wangu anaangalia Tv sebuleni, nikamsalimia akakaa kimya.

Nimemuuliza shida ni nini, eti anasema "usilolijua ni sawa na usiku wa giza". Nimejaribu kumuuliza anamaanisha kitu gani ila akanikalia kimya.

Wakuu nimeshindwa kula, maana nahisi labda atakuwa kaniwekea vitu vya ajabu kwenye Chakula.

Kila nikimuuliza sababu ya yeye kubadilika ghafra ni nini hataki kusema. Naomba ushauri nifanyeje Wakuu.
kuna mawili,aidha uliacha simu siku flani,akaona meseji za "mahaba niue toka kwa mchepuko,au keshampata jamaa anae2umia congo dust,na tatu ingawa nilitaka nikwambie mawili tu!! inawezekana kabisa kampata rafiki au kuna mwanamke jirani anataka kukuvurugeni ndoa yenu kwa kumlisha mkeo matango pori!!!! dawa yake ni ndogo sana;;;do the same thing,she is doing to you!!!,yaani fanya kama anavokufanyia yeye!!!,,,,leo ukirudi ukimsalimia kama hajibu usimuulize,na wala usioneshe kupaniki,fanya mambo yako tartibu,akikufuata kukuuliza k2 na wewe kaa kimya!!,,kesho ukienda town nunua tv mpya weka chumbani,,akiangalia ya chumbani wewe angalia ya sebuleni na akiangalia ya sebuleni wewe ya chumbani!!!!!...alaf anza kuchelewa kurudi home!!,nayeye akijaribu akianza kutoka na kuchelewa usmuulize,,,ukiona imezidi tafuta geto hama!! alaf piga pamba mpaka KOFFI OLOMIDE akuonee wivu!!!!!"USIPENDE wala usiendekeze dharau".........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom