Analysis: Kikwete kafanikiwa Kupata Forum US (CCM Intellectuals)!

JK anakubalika sana just acknowledge at once..ni nyie watu ambao mnafikri ki-waraka waraka mnataka kutuharibia nchi yetu..

Tutamheshimu rais wetu kama marais waliomtangulia wanavyoheshimika kuanzia Rais JK Nyerere, AH Mwinyi na BW Mkapa..

Tudumishe utamaduni huu uliotukaka hata wamerakani wanao ili tuweze kuheshimika..kelele na maandamano ni aina ya unnecessary frustratation
 
Watz waliopo nje usiwawekee maanan,kwanza hawapg kura,pili wengine hata ndugu zao hawawajal,,,,,,,ndo watazungumzia ya walalataaban
mkuu unanifurahisha. kumbuka hata wachangiaji wakuu wa wapa JF ni hao wa nje. Ndo wale kwenye pool ya urais walikuwa wakimpigia slaa na wengi mkaamini kuwa slaa atashinda. niliwaambia mwaka jana kuwa wanajamii F wengi si wapiga kura 2010 mkajifanya hamuelewi. lakini sasa mmeanza kuelewa. Hata ukisema leo Rage ameonekana na slaa kwenye kampeni igunga utasikia wanakuambia jamani tuwekeeni picha wengine hatupo TZ.
2015 CCM to hell.
 
LAkini jamani hao si ndo waliosoma? au mmesahau? Tena tangu uhuru 50yrs ago. siunaona tulivyo matajiri? Kama peponi vile.
 
Njaa kali kila kona. Wabeba mabox na bugger flippers nao wana njaa recession imewapiga kisawasawa. Jk nyumbani ni moto bora aje Huku walau watu wanampa forums kwa kiingilio. Viongozi wazito wazito walitoka Tanzania kuja kwenye mkutano Huo kuja kuuza upupu. NSSF Eti wanauza endowment insurance kwa dola 300 kwa mwaka Upuuzi mtupu. Watu wana life coverage up to 500000 dollars and only pays dola 20 kwa mwezi? Hivi walifanya research kweli au walikurupuka? Eti kina Magori wanakuja kuuza upupu Huo kwa Wabeba box loh
 
Vipi kuhusu authenticity ya hii picha..?
Pili... iyo body language ya JK umeiona?

Katia mikono mfukoni kapiga koti tofauti na suruali Kama anaenda kwenye send off. Kimsingi alidharau kila kitu. Mijitu imetinga suti nzito yeye kama anaenda kufuturu!
 
Aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Wao wanakula raha za marekani lakini hawajui shida za Wabongo. Wao ni WaTz majina, hata watoto wao hajui lugha za Tz zaidi ya kizungu.
 
attachment.php

​

Kwa kuhesabu ya haraka haraka idadi hii ya kujaza chumba hiki ni ya
​
  • Wanausalama Marekani,
  • Wanausalama Tanzania,
  • Wajumbe waliofuatana na msafara wa Kikwete,
  • Wafanyakazi na familia za ofisi ya ubalozi Tanzania nchini Marekani na
  • WanaCCM wachache, Tayari chumba kimejaa.

Msitudanganye, Idadi hii ya watu kwenye Hotel suit ni mpango uliobuniwa, kwani kuna walioandaliwa kutoka wafanyakazi ubalozini, idara ya usalama, waliandamana naye ambao si pungufu ya 30, na wanaCCM wanachache walitosha kujaza chumba. Wengi wanasema hata habari hawakuwa nayo hata wale wanaoishi Maryland na Virginia ambako ni pua na mdomo. Huu ni mpango wa Balozi pale DC thats all. Idadi hiyo si ya kujivunia hata kidogo kutokana na idadi anayotembea nayo rais, waandishi wa habari, watu wa idara ya usalama Marekani na Tanzania, wafanyakazi na wanafamilia wa ofisi ya ubalozi Marekani na wanaCCM wachache tu.

Watanzania wanaoishi marekani si wajinga wa kupoteza muda na gharama za kusafiri na malazi kwa ajili ya kwenda kumsikiliza Vasco da Gama.
 
Kama wanaweza kusomba watu kwny fuso ndani mipaka hata ndege wanaweza nje ya mipaka.
 
Nitakuwa upande wa DICOTA kwenye hili, japo kuwa nilitingwa na mambo mengi sikuweza kusafiri kwenda DC, lakini I planned tangu mwanzo wa mwaka kwenda DICOTA. Kumbuka kwamba hii ni diaspora ya Watanzania wanaoishi USA, na sio political party. Diaspora hii iko interested na self benefit za watu kama vilivyo other non for profit organization in Tanzania. Diaspora itakwenda na yule aliyemadarakani ili kufanikisha self interest za Diaspora, am not a big fun of JK. Lakini I want to Invest in Tanzania and there are several red tapes that i believe JK have an influence kuzifanya zikatwe, so I must establish some common ground with him. That is one of the goal ya Diaspora kama DICOTA kulink opportunist with opportunity period.

I know several CDM members ambao wamekwenda DC, sababu in the end we're all looking for opportunity which are within legal boundaries. I cant blame anyone ambae amekwenda DC, however i do have significance policy difference with JK cabinet.
 
Mkuu that is not true, over 300 Tanzanian across US walikwenda DC. Sio kwa ajili ya kumuona JK lakini kwa ajili ya kuangalia opportunity zilizopo Tanzania. Ben Ndulu alikuwa one of the key center kwa Watanzania ambao wanaangalia opportunity za kuinvest kwenye credit market, financial market and other sectors. Kuna watu wanaona potential kwenye real estate walikwenda kusikiliza jamaa wa nyumba powa. There are people across the states ambao wana difference political view walikwenda DC kusikia what Tanzania have to offer for Diaspora members.
 
attachment.php

​

Kwa kuhesabu ya haraka haraka idadi hii ya kujaza chumba hiki ni ya
​
  • Wanausalama Marekani,
  • Wanausalama Tanzania,
  • Wajumbe waliofuatana na msafara wa Kikwete,
  • Wafanyakazi na familia za ofisi ya ubalozi Tanzania nchini Marekani na
  • WanaCCM wachache, Tayari chumba kimejaa.

Msitudanganye, Idadi hii ya watu kwenye Hotel suit ni mpango uliobuniwa, kwani kuna walioandaliwa kutoka wafanyakazi ubalozini, idara ya usalama, waliandamana naye ambao si pungufu ya 30, na wanaCCM wanachache walitosha kujaza chumba. Wengi wanasema hata habari hawakuwa nayo hata wale wanaoishi Maryland na Virginia ambako ni pua na mdomo. Huu ni mpango wa Balozi pale DC thats all. Idadi hiyo si ya kujivunia hata kidogo kutokana na idadi anayotembea nayo rais, waandishi wa habari, watu wa idara ya usalama Marekani na Tanzania, wafanyakazi na wanafamilia wa ofisi ya ubalozi Marekani na wanaCCM wachache tu.

Watanzania wanaoishi marekani si wajinga wa kupoteza muda na gharama za kusafiri na malazi kwa ajili ya kwenda kumsikiliza Vasco da Gama.

Mfano wa mashabiki vipofu wa CHDEMA hawa...

Hata ukiwekewa picha kama ushahidi bado utabisha tu. Basi tufanye waliokuwepo hapo ni wanawe kina Rizwani, Miraji na mashemeji zake
na viongozi wa ccm wa kila kata bongo kaja nao DC, ... Does that make you feel better now?

Kubalini tu Mwingereza kawapiga changa la macho, kawapandisha mori wa maandamano mashabiki wa Chadema halafu last minute akapotea... Kuipotezea anajidai yeye ni mwana UVCCM,... what bullshit!

Wanaharakati wa Chadema mnatakiwa muwe na better planning and organizational skills next time around.
 
Watz waliopo nje usiwawekee maanan,kwanza hawapg kura,pili wengine hata ndugu zao hawawajal,,,,,,,ndo watazungumzia ya walalataaban

Mkuu nakuunga mkono! Hao jamaa hawana lolote,na pili bado wanawaza ile Tanzania walioiacha wakati wanaondoka. Kumbe hawajuhi sisi tunawaona majuha tu!
 
Mfano wa mashabiki vipofu wa CHDEMA hawa...

Hata ukiwekewa picha kama ushahidi bado utabisha tu. Basi tufanye waliokuwepo hapo ni wanawe kina Rizwani, Miraji na mashemeji zake
na viongozi wa ccm wa kila kata bongo kaja nao DC, ... Does that make you feel better now?

Kubalini tu Mwingereza kawapiga changa la macho, kawapandisha mori wa maandamano mashabiki wa Chadema halafu last minute akapotea... Kuipotezea anajidai yeye ni mwana UVCCM,... what bullshit!

Wanaharakati wa Chadema mnatakiwa muwe na better planning and organizational skills next time around.

Nina bahati ya kutojiingiza kwenye chama cho chote cha siasa tangu utoto wangu, hata vile vikundi vya uthrigi sikuwahi, nilikuwa ngangari, na hivyo kushabikia chama ni utumwa, na kuvaa sare za chama fulani cha siasa ni ulimbukeni, zaidi ya yote kupayukia chama fulani cha siasa ni ufungwa wa nafsi yangu kwa kundi fulani.

Nilivyoelimika ni kufuata itikadi zenye malengo endelevu kwa taifa letu na si hadaa. Niko tayari kupigia kura kiongozi mwanasiasa ye yote endapo ana sera ninazozikubali, lakini katu sitapigia rangi ya chama. Napigia kura mtu mwenye uwezo wa kuongoza, katu sipigii chama kura maana chama kinanadi sera na bado kiongozi akawa na udhaivu mkubwa katika kuongoza.

Serikali ya sasa kwa mwenye jicho la upembuzi is totally corrupted, na kwa vile system ya uongozi imekuwa total corrupted ni sawa na computer kuingiliwa na virus wanaoharibu mfumo wa mjengo wa software. Clean up haiwezi kufanyika kama programs zimo kwenye system. Lazima kudelete programs zote na kubaki system pekee isafishike ndipo software ziingizwe tena kwa utaratibu unaotakiwa, ndo hali halisi ya serikali ya sasa.

Kwa vile government system is totally corrupted, viongozi waandamizi wa serikali ya awamu hii kuwekwa kando katika uchaguzi mkuu ujao na kuingiza upepo mpya ndipo serikali itasafishika vinginevyo tutaendelea na danadana zisizoisha bila kufunga goli.

Kwa mwenye uchungu wa nchi yetu kufurahia uovu ni usaliti.
​
 
Kutumia elimu yako ni kumponda Rais KIKWETE?.Hizo ndizo fikra fupi.EPA,UDA n.k yeye ndie aliiba au ni shangazi zenu na wajomba zenu na mababa zenu ndio wezi?.kazi ya Kikwete ni kuwashughulikia na amefaulu.NIMEISHASEMA YA ZAMBIA KUTOKEA TZ NI NDOTO MAANA CCM NI CHAMA KINACHOKUBALI KWENDA NA WAKATI,KITAMSIMAMISHA MGOMBEA ANAYEKUBALIKA ZAIDI 2015.TUACHE MTIMANYONGO JK ANAKUBALIKA NA 2010 ALITUTAMDIKA CDM,TUKUBALI TUSIKUBALI HATUNA RAIS MWINGINE TZ NI JAKAYA.

kweli wewe ni great thinker wa upumbavu,unaongeza idadi ya wajinga kwenye JF na wewe ndio kiranja wao,sikutegemea kusoma ujinga kama ulioandika kuzingatia hali ambayo nchi yetu inayo kwa sasa.AU WEWE SI MTANZANIA NINI,AU NI MWIZI MWINGINE WA KUNDI LA KINA ******?
 
Kutumia elimu yako ni kumponda Rais KIKWETE?.Hizo ndizo fikra fupi.EPA,UDA n.k yeye ndie aliiba au ni shangazi zenu na wajomba zenu na mababa zenu ndio wezi?.kazi ya Kikwete ni kuwashughulikia na amefaulu.NIMEISHASEMA YA ZAMBIA KUTOKEA TZ NI NDOTO MAANA CCM NI CHAMA KINACHOKUBALI KWENDA NA WAKATI,KITAMSIMAMISHA MGOMBEA ANAYEKUBALIKA ZAIDI 2015.TUACHE MTIMANYONGO JK ANAKUBALIKA NA 2010 ALITUTAMDIKA CDM,TUKUBALI TUSIKUBALI HATUNA RAIS MWINGINE TZ NI JAKAYA.

kusema 2015 watasimamisha mgombea anaekubalika kwani ccm itafika huo mwaka bila kupinduliwa? Na sidhani kama usemi wako kuwa magamba ni chama kinachokwenda na wakati maana mbinu wanazotumia kutudanganya watz ni zile za mwana 1961 wakidhani bado tuwajinga bado na hawajui wizi wa kura kama watajashindwa kama zambia walivojaribu wakashindwa. Ipo siku rasilimali zetu walizoiba tutawawajibisha na watajuta kwa wizi wao
 
Si unaona sasa unaufikiria uchaguzi wa 2015 wakati matatizo mengi yaliyopo hapa nchini kwetu hatujayapunguza hata chembe.Ccm wote mmeathirika sn yaani mnaufikiria uchaguzi kuliko kutatua matatizo ya Watanzania!!?shame on you

Heko mkuu umemwambia ukweli na hawezifikiri kuwa watz wa leo tunatafakari jambo na kulielewa kabla yakufanya maamuzi
 
Nitakuwa upande wa DICOTA kwenye hili, japo kuwa nilitingwa na mambo mengi sikuweza kusafiri kwenda DC, lakini I planned tangu mwanzo wa mwaka kwenda DICOTA. Kumbuka kwamba hii ni diaspora ya Watanzania wanaoishi USA, na sio political party. Diaspora hii iko interested na self benefit za watu kama vilivyo other non for profit organization in Tanzania. Diaspora itakwenda na yule aliyemadarakani ili kufanikisha self interest za Diaspora, am not a big fun of JK. Lakini I want to Invest in Tanzania and there are several red tapes that i believe JK have an influence kuzifanya zikatwe, so I must establish some common ground with him. That is one of the goal ya Diaspora kama DICOTA kulink opportunist with opportunity period.

I know several CDM members ambao wamekwenda DC, sababu in the end we're all looking for opportunity which are within legal boundaries. I cant blame anyone ambae amekwenda DC, however i do have significance policy difference with JK cabinet.

Sijaona kizuizi cha kuwekezaTanzania kama mtu anaishi kwa uhalali nchi za nje na ana passport ya nchi yake. Tatizo ni wale wasio na makaratasi hata dual citizenship ikikubaliwa Tanzania bado watakuwa na matatizo yale yale kwamba hawawezi kutoka nchi waliko na kwenda Tanzania na kurudi. Lakini wanaoishi kihalali wengi tu wamejenga na kuwekeza hapa bongoland na hakuna anayewashtukia. Ila tu wasigombee nafasi za kisiasa kwa sasa.
 
Are you one of the great thinkers of this forum ? If yes basi tumeingiliwa hapa sasa maana upupu unaongezeka kila siku .Kuna mahali pa mawazo ya kijinga kijinga na si hapa JF .Nenda michuzi kaunge mkono kila kitu kule , FB wako wapuuzi na wenye mawazo mgando kama wewe , Uhuru , Mzalendo magazeti na Habari leo .Okoa muda wetu please .

mkuu pia nina wasiwasi na huyu Twahil atakua ni mwita25 mwenye ban kaja na jina jingine maana comment zao zimekaa kishabiki bila fikra pevu
 
Back
Top Bottom