Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
Nimeangalia hiyo steering committee, kama kawaida yale majina maarufu nchini hayachezi mbali.
Hivi yule mchaga aitwaye Malya aliyetaka kuanzisha maandamano USA na akapata umaarufu humu JF yuko wapi vile? Sifa zingine bana!
Kutumia elimu yako ni kumponda Rais KIKWETE?.Hizo ndizo fikra fupi.EPA,UDA n.k yeye ndie aliiba au ni shangazi zenu na wajomba zenu na mababa zenu ndio wezi?.kazi ya Kikwete ni kuwashughulikia na amefaulu.NIMEISHASEMA YA ZAMBIA KUTOKEA TZ NI NDOTO MAANA CCM NI CHAMA KINACHOKUBALI KWENDA NA WAKATI,KITAMSIMAMISHA MGOMBEA ANAYEKUBALIKA ZAIDI 2015.TUACHE MTIMANYONGO JK ANAKUBALIKA NA 2010 ALITUTAMDIKA CDM,TUKUBALI TUSIKUBALI HATUNA RAIS MWINGINE TZ NI JAKAYA.
Body language defines "so what i screwed you up will keep on screwing you till deat.... ooops! debt do us apart"Vipi kuhusu authenticity ya hii picha..?
Pili... iyo body language ya JK umeiona?
By twahil