Kite Munganga
Platinum Member
- Nov 19, 2006
- 1,773
- 952
WanaJF naomba msaada wapi hapa Dar naweza pata kifaa hiki ambacho ni muhimu kwa TV zetu zenye mimba/TV za kizamani, nimezunguka Kariakoo yote naelekezwa kununua ving'amuzi vya zuku, Startimes etc,
Msaada wenu ni muhimu kwangu na wengineo
watu kwa kuchichanganya bwana! hicho kifaa hakipo,kinacho takiwa ni kuwa na king'amzi basi.mawimbi ya digital huwezi kuyapata kwa kutumia antena isipokuwa kwa madish au hivyo ving;amuzi.kwa maanaq nyingine sasa tunatoka kwenye DEZODEZO kwenda kulipia huduma za TV kila mwezi.huko kwenye ving;amuzi kuna channel chache za bure lakini sharti ni kuwa na dish au ving'amuzi.TV ya aina yoyote ile itashika mawimbi kwa king'amuzi.infact hata flat screen bila king'amuzi haitaweza kunasa mawimbi ya digital.
ndiyo waweza nunua king'amuzi cha startiemes, dstv or zukuKwa hiyo unamaanisha nikanunue King'amuzi cha Startimes?
WanaJF naomba msaada wapi hapa Dar naweza pata kifaa hiki ambacho ni muhimu kwa TV zetu zenye mimba/TV za kizamani, nimezunguka Kariakoo yote naelekezwa kununua ving'amuzi vya zuku, Startimes etc,
Msaada wenu ni muhimu kwangu na wengineo
Kwa hiyo unamaanisha nikanunue King'amuzi cha Startimes?
Heshima yako mkuu, nafikili unamaanisha Digital to Analogue Converter (DAC) lakini hiyo ni sehemu ndogo ndani ya kingamuzi kamili chenye subassemblies nyingi kama vile ku-decompress picha/rangi/sauti na mambo mengine chungu mzima za kukuwezesha uone picha na kusikia sauti in analogue form.
Mkuu wangekwambia ununue a Digital TUNER ningewaelewa, sina uhakika kama tuner hizo zinapatikana nchi, na ukihamua kununua tuner ya Digitali basi utahitaji vile vile huwe na ramani (circuit diagram ya TV yenyewe na ya Digital tuner vile vile) ili uweze kujuwa jinsi ya kufanya modification/kuzifunga, hii inahitaji utaalamu na umakini sana, tatizo la njia hii ni kwamba utakuwa unaona channels ambazo siza kulipia.
Mimi nakushauri jikakamue ununue vingamzi au nunua StarTimes TV yenye inbuilt kingamuzi, TV za StarTimes yenye screen ya inchi 21 sio gharama sana na ni NZURI. Sasa hivi nilikuwa nasikiliza kwenye redio kuna vingamuzi vinahuzwa kwa shilling elfu thelathini elfu tu, kanunue hivyo basi.

maelezo yako tu yalishaonyesha ni ngara