Hebu tofautisha kutongoza siriaz na kwa UTANIBaada ya kumtongoza mi nikampotezea but yey akaanza kunisumbua kila sik kwenye sim.alipoanza kuja geto kuliwa nikamula tu kwa mda mlefu mwisho tukazoeana,sielew ni kwann bado naendelea kwake na roho inaniuma kumuacha saiv ila kuoa moyo unagoma
H.Kairuki[emoji818]A.kairuki
Wasukuma ndo bado washamba,mnapofika MJINI huwa mnapaparika sanaMkuu umejuaje natoka kolomije ?ni kwel mwanza ndo hom
Mimba jeAseeh pole mkuu,..kujinasua apo mwambie tu ukweli kua huna nia ya kumwoa na kama kwenda kwa wazaz usiende,..we ni victim kweny u uhusiano, unatakiwa uisimamie nafsi yako,LA sivyo utalishwa kitu usichokitaka...kila LA heri
Anataka NDOAUnasema kweli mkuu .dem mwenyewe anagoma kuchomoa hiyo embryo. Nimetumia psychological ideas and speech but nothing changed
Ulitongozwa?I'm very sory to my wife. But skutarajia niwe katika hali hii