Analazimisha nimuoe

Analazimisha nimuoe

Dah hakuna kitu kinaniuma kama kusoma thread kama hizi aisee. Binti wa watu tunawatia mimba kisha tunawatelekeza.

Dah...

enyi mabinti wa JF mtakaosoma hapa...kwa mtini mjifunze! Siwezi kuwakataza kuzini lakini jueni kuna haya...na mzigo (na lawama ya jamii) inabaki kwenu. Vidole mtanyoshewa nyie na maneno yote mabaya ilhali kijana akiendelea kuponda raha.

Hebu oneni huyu ni kijana msomi (amesema anasoma Hurbert Kairuki) lakini naye anataka kuchangia wingi wa watoto wasio na wazazi wao.

Vijana wa kiume kwa wake hebu tujitahidi kupunguza idadi za watoto hawa..wanaobaki basi wawe waliotokana na mzazi kufariki.

It is not fun at all....inaniuma sana!

Wadogo zangu na dada zangu wa kike..KWA MTINI MJIFUNZE!
 
Aseeh pole mkuu,..kujinasua apo mwambie tu ukweli kua huna nia ya kumwoa na kama kwenda kwa wazaz usiende,..we ni victim kweny u uhusiano, unatakiwa uisimamie nafsi yako,LA sivyo utalishwa kitu usichokitaka...kila LA heri
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Dah hakuna kitu kinaniuma kama kusoma thread kama hizi aisee. Binti wa watu tunawatia mimba kisha tunawatelekeza.

Dah...

enyi mabinti wa JF mtakaosoma hapa...kwa mtini mjifunze! Siwezi kuwakataza kuzini lakini jueni kuna haya...na mzigo (na lawama ya jamii) inabaki kwenu. Vidole mtanyoshewa nyie na maneno yote mabaya ilhali kijana akiendelea kuponda raha.

Hebu oneni huyu ni kijana msomi (amesema anasoma Hurbert Kairuki) lakini naye anataka kuchangia wingi wa watoto wasio na wazazi wao.

Vijana wa kiume kwa wake hebu tujitahidi kupunguza idadi za watoto hawa..wanaobaki basi wawe waliotokana na mzazi kufariki.

It is not fun at all....inaniuma sana!

Wadogo zangu na dada zangu wa kike..KWA MTINI MJIFUNZE!
Ni kweli unayosema lakin before I do anything with this girl I told her that I have already married and I told her that if she come to me she must take care of her menstruation cycle in order to avoid the probability of getting pregnancy. Kifup mahusiana yetu yalikuwa na mipaka ,
 
Hivi unajisikia unachosema lakini?

kwa hiyo ulikuwa unalala na kahaba?
 
Ni kweli unayosema lakin before I do anything with this girl I told her that I have already married and I told her that if she come to me she must take care of her menstruation cycle in order to avoid the probability of getting pregnancy. Kifup mahusiana yetu yalikuwa na mipaka ,
Kumbe umeshaoa......?
1.na mkeo huko alipo akifanyiwa hivyo hivyo ungejisikiajr..?

2.degree/diploma(coz sijui ni ipi kati hiyo) tu unafanya hayo je ungekwenda nje kuongeza elimu itakuaje...?
3. Na naamini mkeo alikuwa anakuja kukutembelea hapo magetoni na alikuwa anakupa haja ya moyo wako (akirudi we una vuta nyingine unabamiza halafu unajiona kijari) ileee hiyo ni yako

NAONA DALILI YAKUMLAZIMISHA HUYO DADA AKATOE MIMBA... RIP DOGO JANJA MAYBE ANGEKUWA RAIS WETU AJAYE
 
Unasema kweli mkuu .dem mwenyewe anagoma kuchomoa hiyo embryo. Nimetumia psychological ideas and speech but nothing changed
 
I'm very sory to my wife. But skutarajia niwe katika hali hii
 
Unasema kweli mkuu .dem mwenyewe anagoma kuchomoa hiyo embryo. Nimetumia psychological ideas and speech but nothing changed
Mwanaume wa kweli hakosi cha kufanya,tuliza akili weekend hii then pata uamuzi wako...Mkuu alaf ujue wewe ni Kaka yetu sijui u atufunza nini.
Kuwa makini tu[emoji19]
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Fanya kumuoa tuu.
Kwani tayari nyie ni kitu kimoja bado udhibitisho tuu
 
ikumbukwe nepi dazen 50000,maziwa pakt 15000,gharama za kujifungua mama ,,,,cijui beseni groves c chini 500000....sabuni mfuko 250000....mama anatakiwa anywe supu kila siku kwa muda wa mwezi kudisha afya nyama kilo 7000...bado vitini hujanunua,,,bando hujanunua hujala hujavaa...tena kwa life hili la anko....haya buana nikutakie maandalizi mema mimi cipoo
 
Duuuu ulikubakije mkuu kurudii tena
Na ulishaona dalili mbaya plus huhitaji kumuoa
 
Kwa nini mnadhalilisha Dada zetu kama umempenda si umuoe tu .hivi unajua anahaki ya kuolewa sio kudanganywa.nawachukia sana mnaodanganya mabinti wa watu
 
Ndo mana Magu kawajegea Hostel mnatekwa sana na hao wazaramo hapo Dar., Na mlivyo mbumbumbu wa mapenzi mnazamishwa mnapotea kbsa mnaanza kusingizia dawa mara majini ., ni kwamba mmekolezwa mkakolea tu..!!

Rudi hostel, kazana na shule wazazi wako wanalala njaa huko Kolomije achana na mabinti wa kizaramo...!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom