Analazimisha nimuoe wakati mimi sitaki

Nafikiri ili uöogeke unahitaji kuamini kuwa utalogwa... We jiamini na mwamini Mungu wala hautlogwa... Waganga wenyewe ni njaa tu!
 
Mmezoea kuchezea kila m2 mnataka muonje. Km hukutaka kumuoa ulianzaje kua na uhucano nae?
 
Hata kama ni mganga wa kienyeji huyo baba yake kwani yeye hapendi binti yake aolewe na mtu ambaye wamependana? Unadhani ataungana na mwanaye kukushinikiza uoe hata kama haujampenda bintiye? Acha uwoga wewe fanya kitu nafsi inapenda.
 
imani yako iko wapi?,mbona analazimisha umuoe vp?.enewi mwambia hujajipanga mbaka baada ya miaka 15,huwezilazishwa wee
 
jamani naombeni ushauri nina dada ambaye nilikuwa na uhusiano naye , mbaya zaidi ameanza kujitambulisha kwa wazazi wangu kuwa mimi nimeshamuoa na ananifuata hadi ofisini akisema amewambia wazazi wangu kuwa tunafunga harusi mwaka ujao na baba yake ni mganga wa kienyeji nifanyaje ili nisipatwe na hili tatizo kuoa bila malengo

Sasa nduyangu
1.Mnaendelea na uhusiano?
2.Ulianzeje kuwa na mahusiano na mtoto wa mganga wa kienyeji?
:A S angry: wise people say "Think before you react":majani7:
 
jamani naombeni ushauri nina dada ambaye nilikuwa na uhusiano naye , mbaya zaidi ameanza kujitambulisha kwa wazazi wangu kuwa mimi nimeshamuoa na ananifuata hadi ofisini akisema amewambia wazazi wangu kuwa tunafunga harusi mwaka ujao na baba yake ni mganga wa kienyeji nifanyaje ili nisipatwe na hili tatizo kuoa bila malengo

Nakubaliana nawe kuwa usiowe kwani hadi sasa hueleweki juu ya mpango mzima wa ndowa!
 
jamani naombeni ushauri nina dada ambaye nilikuwa na uhusiano naye , mbaya zaidi ameanza kujitambulisha kwa wazazi wangu kuwa mimi nimeshamuoa na ananifuata hadi ofisini akisema amewambia wazazi wangu kuwa tunafunga harusi mwaka ujao na baba yake ni mganga wa kienyeji nifanyaje ili nisipatwe na hili tatizo kuoa bila malengo

nenda kwa mganga wa kienyeji atakusaidia sana,,ooh nilitaka kuasahau nenda kwa baba mkwe wako

kumbe solution unayo mwenyewe then unaikalia tuh
 
tehe, pal the big show umenichekesha sana, upo? Kazi zinaendaje mkuu?

the one & only don inside here,,,"mangi",,nipo kiongozi,,kazi safi tuh,japo mafisadi wanaturudisha nyuma,,

tunajenga wao wanabomoa,wanaona jasho letu sisi tamu sana,kama sukari guru,ila mungu atatunusuru,,

mbona umeitoa ile avatar yako?naikubali sana kiongozi
 
Mleta mada anaweza kujiua maana mashambulizi aliyopata ni makali sana
 
Baba ake mganga wa kienyeji? kazi unayo kaka, sasa my advice ni hivi ukiwa unaendelea kumkwepa uanze jimuvuzisha kwa Mungu, ili radi zikianza kurushwa uwe salama
 
the one & only don inside here,,,"mangi",,nipo kiongozi,,kazi safi tuh,japo mafisadi wanaturudisha nyuma,,

tunajenga wao wanabomoa,wanaona jasho letu sisi tamu sana,kama sukari guru,ila mungu atatunusuru,,

mbona umeitoa ile avatar yako?naikubali sana kiongozi

Kweli mafisadi watachomwa moto wa gesi, wanakulaje jasho letu kirahisi rahisi?

Hahaha, mkuu usiniambie avatar ile kumbe unaikubali, but niko mbioni kutafuta nyingine nzuri tu mkuu.
 
1. Yeye ndo kawaambia wazazi wako........
2. Yeye ndo anakuja ofisini kwako......
3. Baba yake ni mganga wa kienyeji......

Wewe ndo muoaji na hujapeleka hata posa unaweweseka nini sasa.......je kama ungekuwa unaolewa wewe si ungewehuka........!!!!!!!

Are you real serious...................???????????????????????

Da afadhali tujiulize vijiswali kidogo kabla ya kuandika thread zetu.*
 
Back
Top Bottom