Analazimisha kunioa

Analazimisha kunioa

Habari za wakati huu wakuu

Niende moja kwa moja kwenye point, mimi ni binti wa miaka 28 nipo kitengo flan na mpenz wangu ana miaka 35 naye hivyo hivyo yupo kitengo flan. Sasa huyu mpenzi wangu nipo nae miaka mitatu sasa yeye alishanitambulisha kwao i mean ndugu zake wananifahamu. Mimi kwetu anamfahamu dada yangu tu,

Kiufupi nimeshindwa kumtambulisha kwani bado namtafakari tabia zake. Kwani ni mtu anayependa starehe sana (Hii labda inatokana na nature ya kazi yake) kiukweli ninavyomwangalia sioni kama ni mtu anayeweza kubeba majukumu kama baba wa familia, hii imepelekea mimi kusita sana kuolewa naye japo nampenda.

Wakubwa imefikia sehemu migogoro imekuwa mikubwa anataka anioe, nikamtambulishe nyumbani au nimzalie mtoto au tuachane. Nipo njia panda nina wiki sasa hatuongei nashindwa niamue nini nipeni ushauri wenu juu ya hili.

Ahsanteni
Ukifika 32yrs ulete bandiko hapa unatafuta mume,kenge maji wewe
 
Duh ila mapenz haya ni noma sanaaa...... Mimi pia nina mwanamke na mbaya zaidi nimezaa nae ila nikimuangalia kama mke sioni kabisa kama anatosha ..... Simuoni sioni kabisaaa
 
Habari za wakati huu wakuu

Niende moja kwa moja kwenye point, mimi ni binti wa miaka 28 nipo kitengo flan na mpenz wangu ana miaka 35 naye hivyo hivyo yupo kitengo flan. Sasa huyu mpenzi wangu nipo nae miaka mitatu sasa yeye alishanitambulisha kwao i mean ndugu zake wananifahamu. Mimi kwetu anamfahamu dada yangu tu,

Kiufupi nimeshindwa kumtambulisha kwani bado namtafakari tabia zake. Kwani ni mtu anayependa starehe sana (Hii labda inatokana na nature ya kazi yake) kiukweli ninavyomwangalia sioni kama ni mtu anayeweza kubeba majukumu kama baba wa familia, hii imepelekea mimi kusita sana kuolewa naye japo nampenda.

Wakubwa imefikia sehemu migogoro imekuwa mikubwa anataka anioe, nikamtambulishe nyumbani au nimzalie mtoto au tuachane. Nipo njia panda nina wiki sasa hatuongei nashindwa niamue nini nipeni ushauri wenu juu ya hili.

Ahsanteni
Muache
 
Miaka 3 unamwangalia nn?
Unapoteza muda, amua uamuzi sahihi mmoja kuwa nae au kutokuwa nae.

Ukizembea in 2 years tusije kutana na Tangazo lako la kutafuta mume lisilo na vigezo vya mume umtakaye aka yeyote.
 
Habari za wakati huu wakuu

Niende moja kwa moja kwenye point, mimi ni binti wa miaka 28 nipo kitengo flan na mpenz wangu ana miaka 35 naye hivyo hivyo yupo kitengo flan. Sasa huyu mpenzi wangu nipo nae miaka mitatu sasa yeye alishanitambulisha kwao i mean ndugu zake wananifahamu. Mimi kwetu anamfahamu dada yangu tu,

Kiufupi nimeshindwa kumtambulisha kwani bado namtafakari tabia zake. Kwani ni mtu anayependa starehe sana (Hii labda inatokana na nature ya kazi yake) kiukweli ninavyomwangalia sioni kama ni mtu anayeweza kubeba majukumu kama baba wa familia, hii imepelekea mimi kusita sana kuolewa naye japo nampenda.

Wakubwa imefikia sehemu migogoro imekuwa mikubwa anataka anioe, nikamtambulishe nyumbani au nimzalie mtoto au tuachane. Nipo njia panda nina wiki sasa hatuongei nashindwa niamue nini nipeni ushauri wenu juu ya hili.

Ahsanteni
Olewa huyo ndo mwanaume ila ibilisi anataka ue na majuto milele
 
Kwani umempendea nini?
 
Achana naye akaoe m2 mwingine wewe utaolewa na mwenye uwezo wa kutunza majukumu ya familia.
Asikuchanganye bwana
Alaaa
unamjaza mwenzio upepo🤣
anaweza achana nae na asipate mwingine wa kumuoa
Labda ajaribu kumbadilisha tabia
 
😆😆😆akili kumukichwa. Kama ameshawishiwa na shosti ake na akashawishika na mimi namshawishi maana hata akili ya kuwaza mbele
 
Kwa point yako mtu humpendi mwache mapema sasa sio kumpotezea muda wake.

Mademu kama wewe mnakera nyie ni wanafiki, mwambie hujapenda tabia yake akigoma kubadilika pita mbali naye.
 
😆😆😆akili kumukichwa. Kama ameshawishiwa na shosti ake na akashawishika na mimi namshawishi maana hata akili ya kuwaza mbele
🤣🤣🤣 ukute hapo shoga aliye mshawish anawaza kushikilia usukan baada ya kuachana
 
Habari za wakati huu wakuu

Niende moja kwa moja kwenye point, mimi ni binti wa miaka 28 nipo kitengo flan na mpenz wangu ana miaka 35 naye hivyo hivyo yupo kitengo flan. Sasa huyu mpenzi wangu nipo nae miaka mitatu sasa yeye alishanitambulisha kwao i mean ndugu zake wananifahamu. Mimi kwetu anamfahamu dada yangu tu,

Kiufupi nimeshindwa kumtambulisha kwani bado namtafakari tabia zake. Kwani ni mtu anayependa starehe sana (Hii labda inatokana na nature ya kazi yake) kiukweli ninavyomwangalia sioni kama ni mtu anayeweza kubeba majukumu kama baba wa familia, hii imepelekea mimi kusita sana kuolewa naye japo nampenda.

Wakubwa imefikia sehemu migogoro imekuwa mikubwa anataka anioe, nikamtambulishe nyumbani au nimzalie mtoto au tuachane. Nipo njia panda nina wiki sasa hatuongei nashindwa niamue nini nipeni ushauri wenu juu ya hili.

Ahsanteni
Hii story ingenoga zaidi iwapo ungedadavua kiundani kwann jamaa yako hana quality.

Mimi nimeelewa hivi.
Upo unajihisi mwenye hatia kutaka kumuacha jamaa aliyekusaidi nakuwekeza kwako for 3 f..ckn yrs. pamoja na bata zake natabia zake ulivumilia ilihali unufaike.
sasa unataka kusecure a fine quality man kwasababu upo stable sasa(miss independent).

ANGALIA huyo jamaa kama ni 35 yrs OLD kweli, wala usiwaze , me naamini yupo kwenye ubora wake nawala hatopata shida we muache kuna option kibao. Kuna wanawake kibao wanamhitaji. labda kama hajitambui nakuelewa thamani yake (he is a price)

SWALI LANGU KWAKO.
JE unasifa na vigezo vya kusecure a nice quality good man ambae atukuwa good father for your kids?
Angalia utakuja mjutia baadae.

Do you know what you really need?
 
Back
Top Bottom