Ushauri wa kiutu uzima huu.Utajuaje kama atakuwa baba bora wa familia ikiwa humpi nafasi ya kuwa mume kwanza?
Majukumu hubadili mtindo wa maisha, akishakuwa mume itamlazimu kubadili mwenendo wa maisha yake. Sasa hivi anafanya starehe sababu bado ni bachelor.
Kama unampenda muweke chini umueleze hofu yako juu ya mwenendo wa maisha yake uone kama hatobadilika.
Katika swala la mapenzi ni bora kumpata anaekupenda na wewe unampenda kuliko kudengua sasa hivi uje kuangukia kwa baradhuli moja litakalokukoleza ulipende halafu likupige matukio mpaka uwe chizi.
Bora ya huyo anaependa starehe unaemjua tayari kwa miaka 3 kuliko kuachana nae upate actor anaejifanya mlokole ukubali akuoe halafu uje kugundua ni mchepukaji, mlevi na mpigaji.
Saa kumi na mbili jioni unachagua mume ,mtu umekaa nae miaka mitatu bado tu haujajua Kama anaweza kuwa baba,haya baada ya krismass mbili uje kwa mwamposa kutafuta mumeHabari za wakati huu wakuu
Niende moja kwa moja kwenye point, mimi ni binti wa miaka 28 nipo kitengo flan na mpenz wangu ana miaka 35 naye hivyo hivyo yupo kitengo flan. Sasa huyu mpenzi wangu nipo nae miaka mitatu sasa yeye alishanitambulisha kwao i mean ndugu zake wananifahamu. Mimi kwetu anamfahamu dada yangu tu,
Kiufupi nimeshindwa kumtambulisha kwani bado namtafakari tabia zake. Kwani ni mtu anayependa starehe sana (Hii labda inatokana na nature ya kazi yake) kiukweli ninavyomwangalia sioni kama ni mtu anayeweza kubeba majukumu kama baba wa familia, hii imepelekea mimi kusita sana kuolewa naye japo nampenda.
Wakubwa imefikia sehemu migogoro imekuwa mikubwa anataka anioe, nikamtambulishe nyumbani au nimzalie mtoto au tuachane. Nipo njia panda nina wiki sasa hatuongei nashindwa niamue nini nipeni ushauri wenu juu ya hili.
Ahsanteni
mpe tiGoHabari za wakati huu wakuu

Asipokuelewa hapa, nampa pole mapema.Utajuaje kama atakuwa baba bora wa familia ikiwa humpi nafasi ya kuwa mume kwanza?
Majukumu hubadili mtindo wa maisha, akishakuwa mume itamlazimu kubadili mwenendo wa maisha yake. Sasa hivi anafanya starehe sababu bado ni bachelor.
Kama unampenda muweke chini umueleze hofu yako juu ya mwenendo wa maisha yake uone kama hatobadilika.
Katika swala la mapenzi ni bora kumpata anaekupenda na wewe unampenda kuliko kudengua sasa hivi uje kuangukia kwa baradhuli moja litakalokukoleza ulipende halafu likupige matukio mpaka uwe chizi.
Bora ya huyo anaependa starehe unaemjua tayari kwa miaka 3 kuliko kuachana nae upate actor anaejifanya mlokole ukubali akuoe halafu uje kugundua ni mchepukaji, mlevi na mpigaji.
Kama una uhakika hayawezi majukumu usiolewe naeHabari za wakati huu wakuu