Analazimisha kunioa

Sasa Mkuu Baadaye Utakuja Tena Thread Kuwa Hujaolewa Wakati Huyo Unampenda
Majukumu Mtajua Huko Huko Ukiolewa Ndoa Ngumu Tu Ndiyo Asili Yake


Mchagua Nazi, Huchagua Koroma
Mbaazi Ukikosa Maua, Husingizia Jua



Olewa Uzae Haraka Ule Raha Duniani
 
πŸ˜‚huu ndo mtaa wangu Mkuu.....kuhusu kuolewa atambue kuwa ndoa ni amani si uwanja wa vita
 
Mteme bidada halafu subiri subiri ufikishe 30+ uje kwenye jukwaa la "LOVE CONNECT" wapo akina rikiboy, mzabzab na Extrovert watakusaidia
 
Miaka mitatu pika pakua, iyo ni ndoa kabisa ni mchele tu umekosekana
Hata mimi nimeshangaa kwa miaka 3 anamchakaza na bado anaendelea kumchakaza hapo imekosekana sherehe tu na vyeti tu iwe ndoa kamili.
Yaani ni sawa sawa anakataa kona ila anakubali penati au ni sawasawa mtu akwambie mimi sipendi kula nguruwe ila mchuzi wake nakunywa.
 
Olewa kwanza. Mengine tutasuluhisha mkishakuwa ndani ya ndoa.
 
Fanya kosa la kukosea kuchagua mpenzi/mchumba...., usije ukafanya kosa la kukosea kuchagua mume

Utanikumbuka
 
acha kuzini naye ikiwa hutaki kuolewa naye.
 
Kwa hiyo ndiyo umeona uje unianike huku? Kama umeona mimi siwezi kuwa baba wa familia si ungeniambia tu tukaachana vizuri? Kwa kweli sikutegemea.
Nikutakie maisha mema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…