Anakataa kuzaa, eti mpaka baada ya kumaliza Masters!

sawa sawa na mie nilimwambia hicho kitu.....shori anasema anataka maisha mazuri yaani akiwa na masters yeye kwake ndio atakuwa na maisha mazuri....wakati jamaa atakuwa keshakuwa kijeba......

......kitu kingine hawa wanawake hawaelewi jambo moja kuwa as siku zinavyozidi kwenda wanazidi kuchoka am sure after masters hatakuwa na mvuto kama alionao sasa hivi....

mmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhh ebu tuone,masters inasaidia kuzaaa labda
 
Jamaa’ngu mmoja ana mchumba’ke ila sasa ni kama hawaelewani kwenye suala la kuzaa…..jamaa sasa ana 30yrs old anataka mtoto na msichana ndio kwanza yuko college…..na shori kakomaa anasema yeye atazaa mpaka ahitimu masters ambayo kama kuipata ni baada ya miaka minne 4….
…mna mshaurije huyu jamaa na mchumba’ke…...

vp game inatoka
 
Jamaa’ngu mmoja ana mchumba’ke ila sasa ni kama hawaelewani kwenye suala la kuzaa…..jamaa sasa ana 30yrs old anataka mtoto na msichana ndio kwanza yuko college…..na shori kakomaa anasema yeye atazaa mpaka ahitimu masters ambayo kama kuipata ni baada ya miaka minne 4….
…mna mshaurije huyu jamaa na mchumba’ke…...


Huyo jamaa aache ujinga! Unatakaje mtoto kabla ya ndoa? Hata ningekuwa mimi ningetafuta visingizio kibao. Wafunge ndoa aone kama suala la Masters litakuwepo.
 
Nisikilizie sasa.. ingekuwa mwanume..kama binti ndo katoa suggestion muoane na ndo ukamwambia asubiri umalize masters au PhD..Hapa pangekuwa hapatoshi ati...(akina Shishi, Mwanajamii, WoS na Pretty -lol) wangekuwa wameshakuja na silaha za gender hapa!

Anyway ukweli ni kwamba hapa hakuna direct answer..kuna mambo mengi yanachangia maamuzi. Mwambie jamaa apime upendo wake kwa binti na aangalie nafasi aliyonayo. Na vile vile umri wa sasa wa msichana ni factor..kama yuko above 28..hapo.....maana akimaliza atakuwa above 32...kuna shughuli kidogo...Na lazima ajue kabisa..demu anayefanya masters ni more likely atakuwa na kazi nzuri na..sasa kama jamaa kisomo chake hakijatulia au kazi yake..ndo hivyo tena..uwezekano wa mdada kubadilisha line kwenda tigo au Zain upo..na kama demu yuko nje jamaa ndo yuko bongo..ningemshauri ajiondoe mapema tuu..aombe urafiki wa kalamu......

Hivi jamani naomba kuuliza..umri gani ni mzuri kwa msichana kuolewa?
 
Huyu mdada anamyeyusha tu mshikaji,jamaa afanyanye mpango wa utafuta mwanake mwingine,huyu wa masters hawak sambamba kimwelekeo
 
Jamaangu mmoja ana mchumbake ila sasa ni kama hawaelewani kwenye suala la kuzaa..jamaa sasa ana 30yrs old anataka mtoto na msichana ndio kwanza yuko college..na shori kakomaa anasema yeye atazaa mpaka ahitimu masters ambayo kama kuipata ni baada ya miaka minne 4.
mna mshaurije huyu jamaa na mchumbake...
Anagongewa huyo
 
Back
Top Bottom