Kuzaa mtoto baadae aje kufanya kazi ya kulinda Kaburi la MTU Bora usimzae!

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Huyu mlinzi wa kaburi la marehemu kiongozi wetu ni mjomba wa Rafiki yangu
Hivi majuzi alikuja likizo kijijini anakwambia anasikitika Sana Kwa kazinanayoifanya

Anasema kazi yake Hana tofauti na mfanya kazi wa mochwari maana ili akeshe lazima

1. Anywe pombe alewe
2.Avute Bangina ashibe
3.Muda wote yeye na walinzi wenzake upiga stori za vifo vifo.
4.wanapokuja watu kuona kaburi wanapo Lia sharti na yeye alie
5.sasa ana mwaka analilinda sura yake imeanza kufanana na marehemu maana kila siku yeye anaangaliana na mabango ya picha za marehemu yaliyobandikwa hapo kuzunguka kaburi

Je alipangwaje kulilinda kaburi la kiongozi?
Anakwambia ni baada ya kuonyeshana misuri na kiongozi mkubwa wa kambi.
Kwa hiyo uko alipelekwa kama adhabu.
Anakwambia aliulizwa baada ya kumuuzi kiongozi wake aliulizwa achague atupwe ukelewe kule ukara au akawe Askari WA kawaida au aende akalinde kaburi?

Jamaa alichagua kwenda kulinda kaburi akidhania yakuwa familia ya marehemu itakuwa inampa msosi kila siku awapo lindoni!lakini ni kinyume chake maana familia ilichukia jinsi mpendwa wao alivyopoteza Maisha.

Nasisitiza kuzaa mtoto ili awe mlinzi wa kaburi la kiongozi ni lahana ikwepe Kwa kuto mzaa
 
Hakuna laana hapo bali ni kazi aliyotumwa kumlinda mfu

Acheni ushirikina sasa huyo alikuwa na walinzi akiwa hai mpaka helicopter juu, na leo bado mnamlinda tu ili iweje

Huyo mlinzi mwambie aende hospitali ya Jeshi akamuone Dr wake ili aondolewe hapo kwa matatizo yake
Sheria mbona zipo ila elimu hakuna?
 
Mbona umemuanika huyo mtu? Haujatumia busara at all. Ungewwza kuiwasilisha kwa namna nyingine na ukaeleweka.
 
Huyu mlinzi wa kaburi la marehemu kiongozi wetu ni mjomba wa Rafiki yangu
Hivi majuzi alikuja likizo kijijini anakwambia anasikitika Sana Kwa kazinanayoifanya

Anasema kazi yake Hana tofauti na mfanya kazi wa mochwari maana ili akeshe lazima

1. Anywe pombe alewe
2.Avute Bangina ashibe
3.Muda wote yeye na walinzi wenzake upiga stori za vifo vifo.
4.wanapokuja watu kuona kaburi wanapo Lia sharti na yeye alie
5.sasa ana mwaka analilinda sura yake imeanza kufanana na marehemu maana kila siku yeye anaangaliana na mabango ya picha za marehemu yaliyobandikwa hapo kuzunguka kaburi

Je alipangwaje kulilinda kaburi la kiongozi?
Anakwambia ni baada ya kuonyeshana misuri na kiongozi mkubwa wa kambi.
Kwa hiyo uko alipelekwa kama adhabu.
Anakwambia aliulizwa baada ya kumuuzi kiongozi wake aliulizwa achague atupwe ukelewe kule ukara au akawe Askari WA kawaida au aende akalinde kaburi?

Jamaa alichagua kwenda kulinda kaburi akidhania yakuwa familia ya marehemu itakuwa inampa msosi kila siku awapo lindoni!lakini ni kinyume chake maana familia ilichukia jinsi mpendwa wao alivyopoteza Maisha.

Nasisitiza kuzaa mtoto ili awe mlinzi wa kaburi la kiongozi ni lahana ikwepe Kwa kuto mzaa
Kani ni kazi bora hiwe ya hali hili mkono uende kinywani wapo ulaya walio ajiriwa na baniani kuteketeza wafu kwa moto mpaka majivu wakija bongo ni matajiri wakubwa itakuwa kazi ya kulinda kaburi la soko 4 hiyo mbona kazi nzuli tu
 
Jamaa alichagua kwenda kulinda kaburi akidhania yakuwa familia ya marehemu itakuwa inampa msosi kila siku awapo lindoni!

Kwahiyo akajua atapata misosi ya bure
 
Back
Top Bottom