Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,743
- Thread starter
- #41
ndio matatizo ya kusoma na kukulia seminari.......nitamzindua nampa mambinu ya kijeshi unajua mashori ukiwapeleka ki Isidingo wanakuona hamnazo......Jamaa yako inaonesha anakuwa mgumu sana kusoma alama za nyakati..Kwa kifupi huyo shori hamzimii msela kiivo na ndio maana jamaa anapomletea mambo ya kuzaa sijui kutotoa..anamchek kidaini huku moyoni akijisemea ' huyu vipi!!?
tehe tehe mpemba una mijipointi walah..Kwa kifupi shori ameegesha tu kwa mshikaji kujikinga mvua na mvua ikiisha anatambaa..