Anakasirika simpost mitandao ya kijamii.

PEVU HALISI

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2018
Posts
207
Reaction score
85
Ni manzi pini kiasi chake. Ila ugomvi wake mkubwa anakasirika simpost kwenye mitandao ya kijamii.
Mi namwambia, baby we nimekupost kwenye moyo huko kwenye mitandao sio kipimo cha upendo, hanielewi kabisa na kukasirika juu.

Eti, wadau... Namuonea kwani??
 
wala humwonei, huo ni ulimbukeni kwani akionekana kwenyemitandao kunachangia nini? kikubwa we mwambie sikupost kwasababu mapenzi yangu si ya mitandao akiona ni kosa kubwa basi achukue hatua stahiki atakazoona zinafaa mie nilikuwa na case ka yako na niliitatua kibabe tuu
 
Sawa sawa chief
 
Back
Top Bottom