Anajua kupigilia nguo ila hana hata shilingi mfokoni

Wana jf kweli mwenzenu nimeamini kila ukionacho sio dhahabu.

Ukimuona ni mcheshi, mkarimu,anajua kuvaa vimodo na endapo utabahatika kumuona unaweza ukadhani anazo mfukoni.

Kumbe hata kazi hana, analala kwa wazazi wake.

Hata ukimuomba vocha 2 ya buku hapo utamuona anaanza visingizio mara naenda bank, mara mtandao wa tigo pesa unasumbua, mara network ipo busy.

Jamani? Kila siku ndo mambo yake lakini akiwa na shida yake anajua kulia mpaka unaingia laini.

Badirikeni jamani muwe mnajua kuhudumia.

Matusi sitaki

Sasa atembee na pesa yeye ATM au bank....... kwani wewe hujui network zinavyosumbua hapa bongo. Fanya kazi bint acha kushoboke pesa za wanaume.
 
Huyu si ni marehemu huyu?
Msiba wake tulitangaziwa jumamosi iliyopita na mwanaJF mmoja ambae alikuwepo huko msibani.

Hapa inabidi turudishiwe pesa zetu za michango kwa kweli wizi sisi watanzania kila kona, sijui tutaponea wapi
 
yaani ww tatizo bintii unataka ufanye relationship kama ajira!! kila mara upokee mshahara! jifunze bibie kutafuta vyako wewe!la siyo utaishia kugawa papuchii!!be independent fanya kazi,,au soma acha ulalamishi!#okbyee
 
Wana jf kweli mwenzenu nimeamini kila ukionacho sio dhahabu.

Ukimuona ni mcheshi, mkarimu,anajua kuvaa vimodo na endapo utabahatika kumuona unaweza ukadhani anazo mfukoni.

Kumbe hata kazi hana, analala kwa wazazi wake.

Hata ukimuomba vocha 2 ya buku hapo utamuona anaanza visingizio mara naenda bank, mara mtandao wa tigo pesa unasumbua, mara network ipo busy.

Jamani? Kila siku ndo mambo yake lakini akiwa na shida yake anajua kulia mpaka unaingia laini.

Badirikeni jamani muwe mnajua kuhudumia.

Matusi sitaki

haaaaa! Mnapenda vya buree!

vp tena?????? naona unaandika uzi then unajishushua mwenyewe...........haya ndo matatizo ya kutumia multiple ids mpk unajichanganya mwenyewe!!!!
 
Wana jf kweli mwenzenu nimeamini kila ukionacho sio dhahabu. Ukimuona ni mcheshi, mkarimu,anajua kuvaa vimodo na endapo utabahatika kumuona unaweza ukadhani anazo mfukoni. Kumbe hata kazi hana, analala kwa wazazi wake. Hata ukimuomba vocha 2 ya buku hapo utamuona anaanza visingizio mara naenda bank, mara mtandao wa tigo pesa unasumbua, mara network ipo busy. Jamani? Kila siku ndo mambo yake lakini akiwa na shida yake anajua kulia mpaka unaingia laini. Badirikeni jamani muwe mnajua kuhudumia. Matusi sitaki
Ni nani wako kwani huyo? Acha vya watu. We si unapesa na unajua kupigilia? Tuliza sede leta maendeleo.
 
Kama unampenda kwa dhati hela zake zinakuhusu nini? Kama upo naye kimaslahi basi kaolewe na ATM. Wewe hizo senti unazo mfukoni kwanini utake yeye akuhudumie?

Halafu eti mnataka usawa mmechoka na mfumo dume. Shame on you
 
Nshamuona huyu jikedume sijui anataka nini humu jf!...maanake humu kila mtu na lengo lake..
Haa haa kweli kushikwa kubaya sana, multiple ID kaaz kwelikwel naona Jawilat umeliona hili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom