Anajiita Blogger Maarufu Tz Nzima!!!

Anajiita Blogger Maarufu Tz Nzima!!!

Juzi juzi nilimuona mitaa ya Moroco alfajiri sijui huyu jamaa analala sa ngapi alafu nae si alitoa mchango kwa ajili ya Mh nae mchango wake umelizwa ha!ha!

Jamaa "mpiga kazi" kinoma!! Anasema huwa anapiga kazi 18 hours a day! So sishangai...
 
huwa ananipa raha sana huyu bwana....ila sitaki kuingia kwenye anga zake mbaya anaweza kuniaziri mtu mzima najiona
 
Back
Top Bottom