Anajiita Blogger Maarufu Tz Nzima!!!

Anajiita Blogger Maarufu Tz Nzima!!!

Kwa hiyo ukadhani umetuimanisha kwa ku-quote mtu mmoja aliyewahi kusema na mtu huyo hajulikana labda ni wewe? Twambie nani alisema hivyo.
Mimi simjui huyu mtu ila simkubali pia kwa pumba zake za mara kwa mara na kwa sababu sikubaliani na pumba zake kwa hiyo sipendi pumba zake na hiyo namchukia kwa kila akitoa pumba zake. namuona kama mtu hewa kichwani
Mtu mmoja mwenye hekima aliwahi kusema hivi : " UKIONA WATU USIO FAHAMIANA NAO WANAKUCHUKIA, BASI JUA WANAKUKUBALI SANA, ILA WANACHUKIA KWANINI WANAKUKUBALI "

Kwa muda mrefu sasa tangu aanze kujihusisha na masuala ya Social Network, Lemutuz amekuwa muhanga wa lugha za dharau, kejeli na matusi kutoka kwa watu mbalimbali wanao tumia mitandao hiyo.

Kila mara jina la LEMUTUZ linapotajwa hapa JF au kule Tanuru la Fikra basi kinacho fuatia huwa ni lugha za matusi, kejeli na kashfa. Watu wengine wanatoa lugha komenti zao katika namna inayo onyesha kuwa wana uchungu sana mioyoni mwao....

Nilijaribu kufanya uchunguzi wangu kujua ni kitu gani kinacho wafanya watu wamchukie Lemutuz kwa kiwango hicho? Sikupata sababu yoyote ya msingi, isipokuwa nilicho kiona ni hicho hapo juu nilicho kisema. Watu wanamkumbali Lemutuz but wanachukia kwanini wanamkubali Lemutuz, mwisho wa siku wanaishia kuexpress their feelings kwa kuandika lugha zisizo faa dhidi ya brother huyu.....

Kwa sisi watu tunao tazama mambo kwa jicho la INRI huwa hatupendi kuona mtu anaonewa bila sababu ya msingi. Tunaamini hakuna mtu aliye mkamilifu...
 
mama ako..kwa sababu naamini hata yeye ni mtu mmoja mwenye hekima....
 
Congratulation! Komenti yako nimeiona!

pole sana, inaelekea wewe ni mtoto wa watu acha nikuache!!

Usije ukanisababishia Ban bure!!

Mods huu uzi sijaona umuhimu wake You better delete it!!
 
Sikuanzisha siredi ili mtukanane tafazali bwana!!
 
attachment.php
ila huyu dada ni mkomao aisss,ngoja tu alilie ndoa umri ushafika magharibi!!
 
pole sana, inaelekea wewe ni mtoto wa watu acha nikuache!!

Usije ukanisababishia Ban bure!!

Mods huu uzi sijaona umuhimu wake You better delete it!!

Today is a very big day for you.You have quote LIKUD and he has replied you. You guy need to celebrate. I wish i could be you!
 
Mtu mmoja mwenye hekima aliwahi kusema hivi : " UKIONA WATU USIO FAHAMIANA NAO WANAKUCHUKIA, BASI JUA WANAKUKUBALI SANA, ILA WANACHUKIA KWANINI WANAKUKUBALI "

Kwa muda mrefu sasa tangu aanze kujihusisha na masuala ya Social Network, Lemutuz amekuwa muhanga wa lugha za dharau, kejeli na matusi kutoka kwa watu mbalimbali wanao tumia mitandao hiyo.

Kila mara jina la LEMUTUZ linapotajwa hapa JF au kule Tanuru la Fikra basi kinacho fuatia huwa ni lugha za matusi, kejeli na kashfa. Watu wengine wanatoa lugha komenti zao katika namna inayo onyesha kuwa wana uchungu sana mioyoni mwao....

Nilijaribu kufanya uchunguzi wangu kujua ni kitu gani kinacho wafanya watu wamchukie Lemutuz kwa kiwango hicho? Sikupata sababu yoyote ya msingi, isipokuwa nilicho kiona ni hicho hapo juu nilicho kisema. Watu wanamkumbali Lemutuz but wanachukia kwanini wanamkubali Lemutuz, mwisho wa siku wanaishia kuexpress their feelings kwa kuandika lugha zisizo faa dhidi ya brother huyu.....

Kwa sisi watu tunao tazama mambo kwa jicho la INRI huwa hatupendi kuona mtu anaonewa bila sababu ya msingi. Tunaamini hakuna mtu aliye mkamilifu...

Kweli kabisa mkuu. Na wengine wanamchukia hata kumuona hawajawahi. Wanafuata mkumbo tu!
 
kama jamii forum n home of great thinker naomba hyu mzee wa mabebez apigwe ban ya milele..la sivyo najitoa jf...serious
 
Hilo jamaa ni hasara kubwa kwa wazazi wake, at 56 years of age lilitakiwa kuwa linafanya shuguli zenye tija kwa taifa badala ya kushika pembe kwenye mibebez ya watu...
Haha haaaah utadhani akili zimehamia tumboni.

Ni kweli ana huo umri?? Mhh maskini familia yake!!!
 
Mtu mmoja mwenye hekima aliwahi kusema hivi : " UKIONA WATU USIO FAHAMIANA NAO WANAKUCHUKIA, BASI JUA WANAKUKUBALI SANA, ILA WANACHUKIA KWANINI WANAKUKUBALI "

Kwa muda mrefu sasa tangu aanze kujihusisha na masuala ya Social Network, Lemutuz amekuwa muhanga wa lugha za dharau, kejeli na matusi kutoka kwa watu mbalimbali wanao tumia mitandao hiyo.

Kila mara jina la LEMUTUZ linapotajwa hapa JF au kule Tanuru la Fikra basi kinacho fuatia huwa ni lugha za matusi, kejeli na kashfa. Watu wengine wanatoa lugha komenti zao katika namna inayo onyesha kuwa wana uchungu sana mioyoni mwao....

Nilijaribu kufanya uchunguzi wangu kujua ni kitu gani kinacho wafanya watu wamchukie Lemutuz kwa kiwango hicho? Sikupata sababu yoyote ya msingi, isipokuwa nilicho kiona ni hicho hapo juu nilicho kisema. Watu wanamkumbali Lemutuz but wanachukia kwanini wanamkubali Lemutuz, mwisho wa siku wanaishia kuexpress their feelings kwa kuandika lugha zisizo faa dhidi ya brother huyu.....

Kwa sisi watu tunao tazama mambo kwa jicho la INRI huwa hatupendi kuona mtu anaonewa bila sababu ya msingi. Tunaamini hakuna mtu aliye mkamilifu...
Hivi ndugu unaelewa maaana ya obesity? , sasa mwili wako ukiwa tofauti na matendo yako utazaa kitu gani? , ndio hilo dubwana lako unalolishobokea kuna siku nilikuwa sehemu nikaona watu wanalidiscuss eti linaisifia limepauwa nyumba yake huko maeneo ya ukonga tena limeapuwa kwa paa la mgongo wa tembo.
 
Kuchukiwa au kupendwa kunatokana na matendo yako katika jamii,unaweza usimfahamu mtu lakini ukamchukia kutokana na matendo yake .Katika ulimwengu wa sasa ambao mitandao ya kijamii ndio imekuwa kisemeo cha watu hatuna budi kupima yale tunayoyasema kupitia hiyo mitandao.Mtu hata kama humjui ,unaweza kumjua tabia zake kama je ana akili timamu au la kutokana na kwanza uwezo wake wa kuongea au kutenda ukilinganisha na umri alionao,hadhi aliyonayo,hapa hadhi inatokana na mambo mengi kwa mfano elimu,uwezo ,jina,ukoo.pia unaweza ukamjua mtu tabia yake kutokana na mavazi ,sehemu anazoshinda,marafiki anaokuwa nao .Na mwisho ushauri wangu ni kuwa inabidi ujiulize kwanini mtu unapendwa na kusifiwa sana au ni kwanini mtu hupendwi na unachukiwa na wengi .Jibu langu ni rahisi nalo ni ukijiheshimu utaheshimiwa na usipojiheshimu utadhauriwa hata ukiwa ni mtu mzima au tajiri au una jina katika jamii,na tusiusake umaarufu kwa njia yoyote ile ili kufanikisha malengo binafsi iwe ya kiuchumi au kisiasa au kijamii,afdhali kuwa lofa lakini unaheshimiwa kuliko kuwa milionea lakini unadhauriwa na hata mjukuu wako.
 
Huyu jamaa duhhh....eti naniiii na michuzi asemeje ??! Huyu jaamaa nasikia hua analazimisha kupiga picha na mademu japo hawampendi kwa sababu ya umbo lake kha mwamvuli....yaani mkubwa juu chini ndio vile.....halafu anakaa kwao huyuuuuuu hivi jamaa husikii aibu...? yaani ana mavitu vitu flani nafikiri ujana ulimpita huyu si bure na nasikia si rijali lakini pia ana nguvu zake safi tu.....wanaitwaje wale....
 
Juzi juzi nilimuona mitaa ya Moroco alfajiri sijui huyu jamaa analala sa ngapi alafu nae si alitoa mchango kwa ajili ya Mh nae mchango wake umelizwa ha!ha!

kwanini usijishangae na wewe ambae muda huo huo ulikuwa sehemu hio hio!!!
 
Back
Top Bottom