Anaitwa Cameron sio Cameroon.

Mimi ni raia wa Zimbabwe bana, kiswahili nimejifunza wakati tunaleta misaada bongo tu

hehe zimbabwe na bongo wapi wanahitaji msaada?sema ulivyotoroka kwenu, haijalishi unajitahidi na utaweza tu.
 
hehe zimbabwe na bongo wapi wanahitaji msaada?sema ulivyotoroka kwenu, haijalishi unajitahidi na utaweza tu.
wewe unafkiri daraja la kigamboni nani katoa msaada? Mimi na marehemu waifu wa Tchangirai ni cousins, gari langu lina bendera ya ikulu ya zimbabwe. Unataka viza ya zimbabwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…