Anaingiza bila aibu!

Anaingiza bila aibu!

Chemiker

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
506
Reaction score
108
Mbele ya mtumishi wa Mungu, Bwana harusi bila woga ni pale alipouulizwa unakitu gani kama ishara ya upendo wenu? Basi akafungua ‘zip’ akaitoa na kuanza kuiingiza kwa mkewe! Bibi harusi bila woga akaing’ang’aniza hadi ikapita, basi watu wote wakashangilia na kupiga makofi kwani hawakuamini ilivyokuwa inaingia ile pete ya Ndoa. :frog:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom