Moderator Nisaidie kuliweka kwenye jukwaa la habari mchanganyiko ndugu,Nina shida na hela na sijui napata wapi wakala,hapa nilipo nimezunguka sana bila mafanikioMwenye kujua alipo wakala wa kutoa hela iliyoko mtandaoni ( E MONEY CARD)
tuwasiliane inbox au nipe location,awe mwanza,Arusha au Dar es Salam