Anahitajika SugarMamy tu

Anahitajika SugarMamy tu

Kiwalaa

Member
Joined
Dec 11, 2014
Posts
12
Reaction score
1
Nafasi hii najitokeza natafuta sugarmamy sasa hv mapenzi na vijana wenzangu sitaki maana ake kuumizana vichwa nimechoka. Nataka kutulizana na SugarMamy aliyetayari tukutane PM.
 
Soko la ma sugar mammy limekua juu sana sahivi...sijui wanatoa nini cha ziada!!!
 
Soko la ma sugar mammy limekua juu sana sahivi...sijui wanatoa nini cha ziada!!!

Hivi hayo mashugamamy wanauza wapi? Kama yanapatikana niijie na ya buku mbili ela ntakupa ukiniletea maana inaelekea ni matamu balaa kila mtu anayatafuta
 
Vjana mboma watamu sugar mamy litakuua mzazi
 
Umeshindwa kujilea unataka wakulee, sisi tulingangana na hao usiowataka leo bado tuko wote , rahaaaaaaaaaaa eeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom