Anahitajika mwalimu wa kujitolea kufundisha somo la Kiingereza

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
344
225
Kwa hiyo laki na nusu anunue mahitaji muhimu apate nyumba ya kupanga nk mmepigaje hiyo hesabu?hebu muogopeni Mungu jamani!
Kwa taarifa yako tu.. mpaka Sasa wapo nane ambao ni qualified...! Wote wameridhia condition zetu. Tunaangalia busara za kumpata mmoja. We endelea kupiga mahesabu ya laki na nusu. Elewa maana ya KUJITOLEA.
 

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
24,557
2,000
Watu kweli people.

Umeambiwa kujitolea hujaambiwa kuajiriwa.

Watu wengi tunajua ukijitolea hulipwi, na sehemu zingine hata posho hupewi. Mleta uzi amesema anatoa posho ya 150K kwa ajili ya KUJITOLEA siyo KUAJIRIWA.

Mimi naona ni fair. Kama unahisi ni unfair basi unamcheki mleta uzi na kupendekeza deal mpya kama akuongezee au atakava mahali pa kuishi na nauli.

Negotiation skills.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom