Anahitajika Mpiga picha. (Freelancer)

hbi

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
678
297
Habari, je wewe ni mpiga picha unayejitegemea? Basi kuna kazi ya kupiga picha kwenye hafla fupi siku ya jumapili kuanzia saa nane mchana mpaka saa kumi na mbili jioni. Zinahitajika picha kwa mtindo wa softcopy na video clip chache utakazorecord matukio mbalimbali. Tutumie DM au whatsapp kwenda namba 0676000030 . Eneno la hafla hiyo ni Sinza Africa Sana Dar es salaam Tanzania.

Ukibofya namba hiyo juu itakupeleka kwenye uwanja wa meseji kwa whatsapp na tunaweza kuwasiliana. Tuoneshe baadhi ya kazi zako na gharama zako kulingana na maelezo hayo juu.

Asanteni.

Asanteni wote mliojitokeza, tumeshapata mtu ambaye tumekubaliana nae kwa ajili ya kazi hii. Shukrani sana.
 
Asanteni wote mliojitokeza, tumeshapata mtu ambaye tumekubaliana nae kwa ajili ya kazi hii. Shukrani sana.
 
Back
Top Bottom