Joseph Gadiel
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 448
- 765
Anahitajika kijana anayeweza kufanya kazi za pedicure na manicure, Ni biashara ambayo ndiyo kwanza tunaanza, vifaa vyote vipo, kila tunapofunga hesabu jioni, tutagawana ikiwezekana 50/50, Eneo ni Survey, Opposite na Mlimani city, Dar es salaam.