Anahitajika kijana msaidizi wa kazi

Anahitajika kijana msaidizi wa kazi

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
750
Reaction score
367
Nahitaji kijana msaidizi wa kazi mgahawani. Mgahawa upo uswazi hauna mishe nyiingi kivileee. Nilishawahi kupost hapa nashukuru nilimpata mmoja mpaka leo ninae.

Nahitaji mwingine Ofisi inakua kidogokidogo. Kama una mdogo wako muelewa, anafundishika, sio mbishi hata kama yupo mkoa unatamani aje town njoo tujadili nitakaa nae.

Itategemea na bidii yake na uaminifu nitaanza kumlipa tsh 3000. 0714045080.(vingunguti)dar.
NB:mwenye MKE sihitaji
Karibu.
 
Hicho kigezo cha mke kinaweza kukusaidia ama kukuumiza
 
nahitaji kijana msaidizi wa kazi mgahawani. mgahawa upo uswazi hauna mishe nyiingi kivileee..nilisha wahi kupost hapa nashukuru nilimpata mmoja mpaka leo ninae..nahitaji mwingine Ofisi inakua kidogokidogo kama unamdogowako muelewa,anafundishika, sio mbishi hatakama yupo mkoa unatamani aje town njoo tujadili nitakaanae. itategemea na bidii yake na uaminifu nitaanza kumlipa tsh 3000. 0714045080.(vingunguti)dar.
NB:mwenye MKE sihitaji
karibu.
Hapo sijaelewa elfu tatu kwa siku au kwa mwezi
 
90'000/= kwa mwezi malazi na huduma ndogo ndogo ni juu yake au juu yako?
 
Kwa mshahara huo utaibiwa mkuu hata kama anakula na kulala kwako
 
sihitaji ushauri wakuu nahitaji kijana..3000day. nahitaji kukaa nae.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom