Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 750
- 367
nahitaji kijana msaidizi wa kazi mgahawani. mgahawa upo uswazi hauna mishe nyiingi kivileee..nilisha wahi kupost hapa nashukuru nilimpata mmoja mpaka leo ninae..nahitaji mwingine Ofisi inakua kidogokidogo kama unamdogowako muelewa,anafundishika, sio mbishi hatakama yupo mkoa unatamani aje town njoo tujadili nitakaanae. itategemea na bidii yake na uaminifu nitaanza kumlipa tsh 3000. 0714045080.(vingunguti)dar.
NB:mwenye MKE sihitaji
karibu.
NB:mwenye MKE sihitaji
karibu.