Nahitaji kijana wa kazi.

Nahitaji kijana wa kazi.

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
750
Reaction score
367
nahitaji kijana msaidizi wa kazi mgahawani. mgahawa upo uswazi hauna mishe nyiingi kivileee..nilisha wahi kupost hapa nashukuru nilimpata mmoja mpaka leo ninae..nahitaji mwingine Ofisi inakua kidogokidogo kama unamdogowako muelewa,anafundishika, sio mbishi hatakama yupo mkoa unatamani aje town njoo tujadili nitakaanae. itategemea na bidii yake na uaminifu nitaanza kumlipa tsh 3000. 0714045080.(vingunguti)dar.
NB:mwenye MKE sihitaji
karibu.
 
unapo sema uswaz huja eleweka kila jiji lina uswazi
hiyo elfu 3 per what?
 
nahitaji kijana msaidizi wa kazi mgahawani. mgahawa upo uswazi hauna mishe nyiingi kivileee..nilisha wahi kupost hapa nashukuru nilimpata mmoja mpaka leo ninae..nahitaji mwingine Ofisi inakua kidogokidogo kama unamdogowako muelewa,anafundishika, sio mbishi hatakama yupo mkoa unatamani aje town njoo tujadili nitakaanae. itategemea na bidii yake na uaminifu nitaanza kumlipa tsh 3000. 0714045080.(vingunguti)dar.
NB:mwenye MKE sihitaji
karibu.
Mm hapa naitaji sema mm naishi mbezi kutoka huko mpka hone ni mbali alfu usafiri ww utanisaidiaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom