Anahitajika Fundi wa kushona nguo za kike

Henasmile

Member
Jan 20, 2011
34
2
Nahitaji fundi anayejua kushona nguo za kike, awe na ujuzi wa kushona mitindo mbalimbali na ya kisasa ya kike,
Ofisi ipo makumbusho, mtaa wa bahari motors karibu na makumbusho sokoni.

Kwa mawasiliano,

By Helena,
Sane Designs & Tailoring Mart
Makumbusho - Dar es salaam
0713 233073, 0758 921404
 
Fiika makumbusho sokoni ulizia fundi MAMLO, huyu ni mahiri sana katika tasnia ya ufundi
 
Fiika makumbusho sokoni ulizia fundi MAMLO, huyu ni mahiri sana katika tasnia ya ufundi

Asante kwa ushauri,
lakini nashukuru nimeshapata mtu, assanteni wadau kwa kunipa ushirikiano,

N.B, karibuni sana pia ofisini kwangu niweze kuwabunia mavazi yenu
 
Back
Top Bottom