Anahitajika dada wa kufanya usafi kila Jumapili tu

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Habari wandugu,
Kwa yeyote anayemfahamu dada yeyote ambaye angependa kufanya kazi za ndani kwa muhindi kila jumapili tu tuwasiliane kwa namba 0789254898. Nauli na chakula ni juu ya muhindi, location ni Kariakoo, malipo maelewano but I hope between 10,000 - 20,000 Tshs.

Hayo maelezo yamekamilika.
 
Samahani hayo malipo ni pamoja na kufua au usafi wa kawaida tu wandani?
 
kwa muhindi duh bora waendelee kula ugari na kubadili chanel tuu ndani
 
Back
Top Bottom