Anahitaji mtu wa kumfanyia feasibility study au kuandika project proposal

Anahitaji mtu wa kumfanyia feasibility study au kuandika project proposal

Msonjo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2019
Posts
1,378
Reaction score
2,394
Habari za muda huu wanajamvi,

Kuna mtu anataka kuanzisha shule (pre and primary school), hivyo anahitaji mtu wa kumfanyia feasibility study au kuandika project proposal.

Ambayo itaonyesha tathimini ya project nzima kuwa inaweza kugharimu kiasi gani.

Kwa yeyote anayeweza kuifanya kazi hii anicheki kwa namba hii WhatsApp tuyajenge.

UPDATE
Tayari ameshapatikana
 
Back
Top Bottom