Anahisi mume wake ni shoga

Anahisi mume wake ni shoga

Marekani huko we nenda kama unampunga kamtangazie dau uone
 
Aisee namhurumia huyo mwanamke presha yake itakua juu,bora awe na mchepuko sio shoga(kuliwa au kula)
 
Never apologize for what you feel, it's like saying sorry for being real.
 
Kuna kitoto kiteketeke kishamwambia baby napenda ukiwa unanukia mixa michen chen soon ataanza kuvaa la kuchumpa.

mwambie huyo dada mume kuwa shoga ni zaid ya kujipulizia perfume.
Kumbe ndivyo mlivyo kaka mnaendana na mazingira eee
 
ha ha ha aha acha tu dada unakuta kitu kipya halafu ili uendeane na mazingira lazma ubadilike kutokana na mchezo unavyokuwa
Hahaha! Ila kaka huyo kazidi mana hadi mke anamtilia mashaka.
 
Pole dada fuatilia vizuri usihukumu kama huna uhakika. Maana unaonekana bado huna uhakika kama ni shoga au la.
 
Dada unasikitika nini? Kugegedwa, unagegedwa vumilia
Ushauri
Mpime kwa kidole au ulimi nyuma ya kaio
Utavumilia kidole au ulimi jua sio riziki tena
Mpe kwa mpime, kwa, mahaba utajua,
 
Kama alikua alikuaga rough mara ghafla macheni vs pafume huyo kuna mahali alipiga bingo ile anatoka kakutana na mboga saba,so kama na wewe ulikua cyo mtu wa kujipenda ndio ivyo tena mbwa kala dog,its ur tym to change lasi ivyo subiri afilisike atarufi kwa heshima zote.
 
Aache mawazo potofu, kuna binti anamsaidia huko nje ye asijiongeze awaze tuu ni ushoga akijashtuka binti ndo ashammiliki mazima
 
Dada unasikitika nini? Kugegedwa, unagegedwa vumilia
Ushauri
Mpime kwa kidole au ulimi nyuma ya kaio
Utavumilia kidole au ulimi jua sio riziki tena
Mpe kwa mpime, kwa, mahaba utajua,
ushawahi kujaribiwa??? inaonekana mzoefu kweli
 
Huu mkasa ni kama umekopi sehem so nazani ushauri hautamfikia mlengwa
 
Back
Top Bottom