Anahatarisha uhai wa ndoa yangu

Anahatarisha uhai wa ndoa yangu

Natfuta simu ya 25000 kidogo dogo hivi, sajili line mpya wape hiyo.Sharti lake hiyo simu siku zote iwe Silent. na Nyumba kuu isijue.

Nakutakia sarakasi njema
Kwa ushauri huu wengi wamenufaika sana,pongezi kwako.
 
Kwahiyo unataka tukuhalalishie uzinzi?
Nimekuwa na uhusiano wa pembeni wa hapa na pale, kwa ajili ya kupooza injini pale inapopata moto. Mbaya zaidi hawa warembo wangu wamekuwa na tabia ya kunijulia hali hata kama ni usiku wa manane bila kujali muda ule niko na bi mkubwa au la.

Nimejaribu kuwaeleza kila mtu kwa muda wake kuhusu utaratibu wa mawasiliano, lakini baada ya siku mbili tatu tatizo linarudi tena.

Natamani kuwaacha lakini roho inauma. Imenibidi kila ninapokuwa na mwenzangu niblock namba zao ili kunusuru ndoa yangu.

Wakuu tatizo la namna hii huwa mnatatuaje?
 
Mkuu,usimuombee mwenzako mabaya,huo sio uzalendo.
Hahaha basii nakuombea uwe unawa-drill hadi kuwake moto, usipate na UKIMWI wala Gono. All the best Kijana wangu but kumbuka Kei haijawahi kushiba Dudu wala Dydyu haijawahi kukinaiwa na Kei......jitahidi kufahamu hili nalo
 
Hahaha basii nakuombea uwe unawa/drill hadi kuwake moto, usiapte na UKIMWI wala Gono. All the bet Kijana wangu but kumbuka Key haijawahi kushibs Dudu wala Dydyu haijawahi kukinaiwa na Key......jitahidi kufahamu hili nalo
Kweli mkuu,pitia na hapa...
 
Kweli mkuu,pitia na hapa...
Ngija nimalizie kikombe cha kahawa kwanza hapa na kashata, nimemkumbuka Shemeji yako huko Ukumani hapokei simu zangu wala kujibu text
 
Ngija nimalizie kikombe cha kahawa kwanza hapa na kashata, nimemkumbuka Shemeji yako huko Ukumani hapokei simu zangu wala kujibu text
Ha ha ha ha inawezekana labda jirani yako anapiga pushapu mkuu.
 
Nimekuwa na uhusiano wa pembeni wa hapa na pale, kwa ajili ya kupooza injini pale inapopata moto. Mbaya zaidi hawa warembo wangu wamekuwa na tabia ya kunijulia hali hata kama ni usiku wa manane bila kujali muda ule niko na bi mkubwa au la.

Nimejaribu kuwaeleza kila mtu kwa muda wake kuhusu utaratibu wa mawasiliano, lakini baada ya siku mbili tatu tatizo linarudi tena.

Natamani kuwaacha lakini roho inauma. Imenibidi kila ninapokuwa na mwenzangu niblock namba zao ili kunusuru ndoa yangu.

Wakuu tatizo la namna hii huwa mnatatuaje?
Na wewe huna,akilii kwanini usitafute line mpyaa,kwa ajili ya,haoooo.

Ili ukiwa home una zimaa kabisaaaa. Simu unaweka mahalii au kama ni kwenye beg au sehemu yoyote secret.

Simpleee namba yako inabakii kawaida bila shakaaa
 
Back
Top Bottom