Ukuta wa wino
Member
- Oct 20, 2019
- 94
- 632
Hilo bao bora mshua wako angelipiga puli kuliko mtoto kama wewe.
Huwezi amini Ni mtu mzima,ana familia,anajua kutafuta pesa,Ni msomi wa PhDHuyu ni mtoto tu anacheza na akili zenu. Hakuna mume wa mtu hapo.
Jiangalie staili yako ya maisha..utapata Maana ya uhuni.Uhuni ni nini mkuu?
Huwezi amini Ni mtu mzima,ana familia,anajua kutafuta pesa,Ni msomi wa PhD
Hapo ukute hata huyo mkeo humtoshelezi,lakini bado unamichepuko.Changamoto mkuu,unaweza kuhitaji huduma usiipate kwa muda unaotaka
basi usiyafanye mkuu......Kweli mkuu,ila kwa uhai wa familia kuna mengine si vizuri
Huwa tunawatambulisha rasmi kama wake wasaidiziNimekuwa na uhusiano wa pembeni wa hapa na pale, kwa ajili ya kupooza injini pale inapopata moto. Mbaya zaidi hawa warembo wangu wamekuwa na tabia ya kunijulia hali hata kama ni usiku wa manane bila kujali muda ule niko na bi mkubwa au la.
Nimejaribu kuwaeleza kila mtu kwa muda wake kuhusu utaratibu wa mawasiliano, lakini baada ya siku mbili tatu tatizo linarudi tena.
Natamani kuwaacha lakini roho inauma. Imenibidi kila ninapokuwa na mwenzangu niblock namba zao ili kunusuru ndoa yangu.
Wakuu tatizo la namna hii huwa mnatatuaje?