Anahatarisha uhai wa ndoa yangu

Anahatarisha uhai wa ndoa yangu

Anahatarisha uhai wa ndoa yangu...

Nimekuwa na uhusiano wa pembeni wa hapa na pale, kwa ajili ya kupooza injini pale inapopata moto.Mbaya zaidi hawa warembo wangu wamekuwa na tabia ya kunijulia hali hata kama ni usiku wa manane bila kujali muda ule niko na bi mkubwa au la.

Nimejaribu kuwaeleza kila mtu kwa muda wake kuhusu utaratibu wa mawasiliano, lakini baada ya siku mbili tatu tatizo linarudi tena. Natamani kuwaacha lakini roho inauma. Imenibidi kila ninapokuwa na mwenzangu niblock namba zao ili kunusuru ndoa yangu.

Wakuu tatizo la namna hii huwa mnatatuaje?

Unapata wapi muda wa kupoteza na hao watu, kajenge nchi.
 
Natfuta simu ya 25000 kidogo dogo hivi, sajili line mpya wape hiyo.Sharti lake hiyo simu siku zote iwe Silent. na Nyumba kuu isijue.

Nakutakia sarakasi njema
 
Nimekuwa na uhusiano wa pembeni wa hapa na pale, kwa ajili ya kupooza injini pale inapopata moto. Mbaya zaidi hawa warembo wangu wamekuwa na tabia ya kunijulia hali hata kama ni usiku wa manane bila kujali muda ule niko na bi mkubwa au la.

Nimejaribu kuwaeleza kila mtu kwa muda wake kuhusu utaratibu wa mawasiliano, lakini baada ya siku mbili tatu tatizo linarudi tena.

Natamani kuwaacha lakini roho inauma. Imenibidi kila ninapokuwa na mwenzangu niblock namba zao ili kunusuru ndoa yangu.

Wakuu tatizo la namna hii huwa mnatatuaje?
tafuta simu ya mapigano,kadogo dogo hivi...ukirudi hm unakatupia kwenye compact ya spare tyre
 
Back
Top Bottom