Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,347
- 56,076
- Thread starter
- #61
Wanasema,abiria chunga mzigo wakoWeee nawaamini sana Wasukuma japo ni watundu watundu flani hivi, ukiwa nao hawakawii kuongea kisumuma...
Wanasema,abiria chunga mzigo wakoWeee nawaamini sana Wasukuma japo ni watundu watundu flani hivi, ukiwa nao hawakawii kuongea kisumuma...
Nimepata pointi hapa mkuuNa wewe huna,akilii kwanini usitafute line mpyaa,kwa ajili ya,haoooo.
Ili ukiwa home una zimaa kabisaaaa. Simu unaweka mahalii au kama ni kwenye beg au sehemu yoyote secret.
Simpleee namba yako inabakii kawaida bila shakaaa
Mkuu nakurekebisha hapo juu, sio vumbi kupungua Sema upepo wakisulisuli kutuliaHii ni unaanza mapenzi chuo. Unamaliza chuo unapata kazi ndani ya mwezi bila kulaza damu unaamua kumuoa binti uliyekutana naye chuo.
Baada ya vumbi kutulia ndiyo unagundua huyo binti hakuvutii hata kidogo ila ilikua ni unaingia ndoani kisa nyege. So unakua ni kijana wa miaka 25 upo kwenye ndoa ambayo huna hamu nayo huku una michepuko lukuki.
You are young hujui hata kufanya maamuzi but you live in a social media era so you take your problems to the world expecting a solution.
Good luck.
Katika dunia ya sasa ni wawili katika mia. Wewe unamsikia hata Obama mwenyewe michepuko inamzingua. Rais wa ufaransa wametibuana juzi kati hapo,kisa mchepuko. Mheshimiwa mwenyewe ana tumorozai kibao out huku,mfalme wa Thailand huko juzi tu kamshusha cheo mke tegemeo. Mfalme mswati mwenyewe mke tegemeo anagongwa na waziri mkuuHivi kwa nini msiwe waaminifu wa ndoa zenu
HahahahahhhahahahahahaNini maana ya ndoa ikiwa matatizo madogo madogo kama hayo hutaki kumshirikisha mkeo?
Kweli mkuu,ukiona mtu ametulia sehemu moja inawezekana labda nguvu ziko chini,mdomo mzito,au umasikini unachangiaKatika dunia ya sasa ni wawili katika mia. Wewe unamsikia hata Obama mwenyewe michepuko inamzingua. Rais wa ufaransa wametibuana juzi kati hapo,kisa mchepuko. Mheshimiwa mwenyewe ana tumorozai kibao out huku,mfalme wa Thailand huko juzi tu kamshusha cheo mke tegemeo. Mfalme mswati mwenyewe mke tegemeo anagongwa na waziri mkuu
Mwache mkeo uwaoe mkuu mbona rahisi sana?!Natamani kuwaacha lakini roho inauma. Imenibidi kila ninapokuwa na mwenzangu niblock namba zao ili kunusuru ndoa yangu.
Wakuu tatizo la namna hii huwa mnatatuaje?
Kweli mkuu,umeongea pointiWewe endekeza umaskini huo upo njiani. Jenga maisha acha kuwekeza kwenye wanawake
ha ha ha haMwache mkeo uwaoe mkuu mbona rahisi sana?!
Yaani mtu anakutafuta usiku, huyo ni wewe ndo umemtengenezea mazingira hayo. Na kuna siku watapiga simu kwa mkeo kabisa kujitamba. Halafu Mwanaume angalia vitu vya kuomba ushauri. Omba ushauri wa kibiashara au kutengeneza hela na si jinsi ya kudeal na michepuko yako ambayo inakupa tu umaskini. Inakupenda sababu unaikatia pochiKweli mkuu,umeongea pointi
Kwa hiyo mkuu,unamaanisha baharia huwa anajilipua tu?
MUNGU ninusuru na haya mafurushiFURUSHI.

Tafuta mwanaume wa kuishi nayeFURUSHI.
Unapewa Mara moja kwa wiki.Changamoto mkuu,unaweza kuhitaji huduma usiipate kwa muda unaotaka
Njoo upate wokovuMUNGU ninusuru na haya mafurushi![]()