Haya
1. Wavivu.
2. Wanapenda mapenzi.
3. Washirikina ( limbwata linakuhusu ).
4. Mabishoo yani ma sister doo.
ila yote haya jalisha kwamba mupenzio anatabia hizo
5. Sio wavumilivu.
Usiwe mmbaguzi wewe , ukiwa unaangalia makabila huto pata jiko
Hamna ndumba bana, weee vipi?
Hujasikia wimbo wa Kinyamwezi kwenye maharusi yetu maana huwa tunaimba ".....nalitumila ndumba ya kumlomo....."
Kaunga dada yangu atakuwa shahidi kuwa maana yake ni "....ninatumia ndumba ya mdomoni......"
Wanyamwezi tuna maneno matamu na nyororo................ "..... hihihiiiii, ndiyo Padili....."
Ngoja uje upate Kanyamwezi kakufunge Kanga na ukilegea tu kanakuchapa Masaburi "fanya kazi wee......"
ah wacha kutukandia bana
wana paa usiku
i
na wanaume mkuu maona naona una degree ya kinyamwezihawatulii na mwanamume mmoja ni wanawake wa mafiga matatu, kwa limbwata ndo wenyewe na pia kama limbwata halikamatiki kwako basi wanakudedisha.lakini tofauti na hayo wanyamwezi ni miongoni mwa makabila yanayojua mapenzi hapa tanzania, mimi nashangaa watu wanasifia eti tanga kwangu mimi mwanamke wa kinyamwezi ni nambari one kwa mapenzi sema sasa issue ni hayo matatizo yake ya hapo juu maana mwanamume hakohoi kwa mke wa kinyamwezi
na wanaume mkuu maona naona una degree ya kinyamwezi
Umenikumbusha, story niliyopewa na bibi yangu ya nyama ya ulimi!
Maneno matamu, chakula kitamu, mchezo mtamu ndio ndumba za wanyamwezi!
Wivu tu huo umekujaa mwanamke loh!!!!!!!!!!!!!!!!!Kwa ndumba ndo wenyewe!!!!!!!
Hata ndumba kama alivosema Evelyn Salt?MIMI Kama myamwezi ,Vingi wametaja wenzangu 90% ni kweli jamani,Pia wanapenda sifa,sio kujisikia bali kusifiwa kwa jambo alitendalo tena sana,wanapenda kusoma pia.mapishi,mapenzi,kazi.
Sio kweli kabisa nahisi wewe ndivo ulivo bwana.Wanaume wa Kinyamwezi wengi ni watu wa majungu majungu tu iwe makazini na hata majumbani ni majungu,fitina na zaidi wamejaa uswahili hasa Wanyamwezi walioko mijini. Zaidi wanaume wa Kinyamwezi wanasifika kwa kuwa wapole kwa wake zao lakini wanapokuwa nje ya nyumbani nao ni mafirauni tu.Lakini sifa kubwa ya mwanaume wa Kinyamwezi ni majungu, majungu,majungu,fitina na zaidi wamejaa uswahili mwingi na hawajiamini amini hata kama uwape post kubwa hawajiamini inabidi wakapige ramri
Wivu tu huo umekujaa mwanamke loh!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wanaume wa Kinyamwezi wengi ni watu wa majungu majungu tu iwe makazini na hata majumbani ni majungu,fitina na zaidi wamejaa uswahili hasa Wanyamwezi walioko mijini. Zaidi wanaume wa Kinyamwezi wanasifika kwa kuwa wapole kwa wake zao lakini wanapokuwa nje ya nyumbani nao ni mafirauni tu.Lakini sifa kubwa ya mwanaume wa Kinyamwezi ni majungu, majungu,majungu,fitina na zaidi wamejaa uswahili mwingi na hawajiamini amini hata kama uwape post kubwa hawajiamini inabidi wakapige ramri[/QUOTE Sikonge NA Kaunga naombeni ushahidi hapa
Wanaume wa Kinyamwezi wengi ni watu wa majungu majungu tu iwe makazini na hata majumbani ni majungu,fitina na zaidi wamejaa uswahili hasa Wanyamwezi walioko mijini. Zaidi wanaume wa Kinyamwezi wanasifika kwa kuwa wapole kwa wake zao lakini wanapokuwa nje ya nyumbani nao ni mafirauni tu.Lakini sifa kubwa ya mwanaume wa Kinyamwezi ni majungu, majungu,majungu,fitina na zaidi wamejaa uswahili mwingi na hawajiamini amini hata kama uwape post kubwa hawajiamini inabidi wakapige ramri
Ngoja uje upate Kanyamwezi kakufunge Kanga na ukilegea tu kanakuchapa Masaburi "fanya kazi wee......"
Hawatulii na mwanamume mmoja ni wanawake wa mafiga matatu, kwa limbwata ndo wenyewe na pia kama limbwata halikamatiki kwako basi wanakudedisha.Lakini tofauti na hayo Wanyamwezi ni miongoni mwa makabila yanayojua mapenzi hapa Tanzania, mimi nashangaa watu wanasifia eti Tanga kwangu mimi mwanamke wa Kinyamwezi ni nambari one kwa mapenzi sema sasa issue ni hayo matatizo yake ya hapo juu maana mwanamume hakohoi kwa mke wa Kinyamwezi