Anaewajua hawa wauza magari tradecarview

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,610
13,160
Nahitaji kununua gari, nimepata option katika list yao. Hofu yangu mfumo wao, wao ni kama madalali wapo kati ya muuzaji na mnunuzi, nipo hatua 1. nimetoa offer yangu nasubiri muhusika anijibu via email.
Jamani pesa ngumu najua JF kuna wabobezi nyanja zote,are this dealer real honest!?
Screenshot_20190530-205412.jpeg
 
Nenda Beforward uhakika mkuu, nmeshaagiza nchi na wangu kupitia huko upo njiani unakuja.Full uhakika na wapi reliable sana.
 
Nahitaji kununua gari, nimepata option katika list yao. Hofu yangu mfumo wao, wao ni kama madalali wapo kati ya muuzaji na mnunuzi, nipo hatua 1. nimetoa offer yangu nasubiri muhusika anijibu via email.
Jamani pesa ngumu najua JF kuna wabobezi nyanja zote,are this dealer real honest!?View attachment 1112504
Wako vizuri sana hao tradecarview. Nimekwisha fanya nao biashara kwa mara 3 tofauti.
 
Nahitaji kununua gari, nimepata option katika list yao. Hofu yangu mfumo wao, wao ni kama madalali wapo kati ya muuzaji na mnunuzi, nipo hatua 1. nimetoa offer yangu nasubiri muhusika anijibu via email.
Jamani pesa ngumu najua JF kuna wabobezi nyanja zote,are this dealer real honest!?View attachment 1112504
Niliagiza direct japana kupitia sbt, this march.....nnazo contacts zao, I can connect you with them if you wish.
 
Mkuu hawana shida,ukienda kwenye hiyo website yao au uka Google utapata local representative wao. Maana wana wawakilishi hapa tz na unaweza kulipa hapa hapa. Wasiliana nao au Google. Mimi mwaka jana nilitaka kununua gari kwao lakini nikahamia beforward.so be free
 
Nahitaji kununua gari, nimepata option katika list yao. Hofu yangu mfumo wao, wao ni kama madalali wapo kati ya muuzaji na mnunuzi, nipo hatua 1. nimetoa offer yangu nasubiri muhusika anijibu via email.
Jamani pesa ngumu najua JF kuna wabobezi nyanja zote,are this dealer real honest!?View attachment 1112504
Hawana shida. "Nimeshafanya" nao Mara tatu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom