Anaesema TBC wanarusha matangazo yao HD huyo hana tofauti na taahira

Hapo kunavitu viwili kuna Chombo mfano TBC yawezekana warusha HD lets say 1280x720 kwenda kwa Azam au Startimes nk .. Ila Ikawa Azam na Startimes wakawa hawarushi HD wakififisha SD 720x480
 
Mimi natumia Hisense na kisimbuzi cha Azam tv mbona pichabhazina mng"ao ?
Je Azam wana FHD au 480/720P?
 
Channel za HD ni chache na zimeainishwa sio zote ni HD.
Azam one na sport HD oamoja na ile inayoonyesha thamthiliya la Kituruki kidogo afadhali.
Kama HD magumash Kununua 4K/UHD ni wendawazimu
 
Mimi natumia Hisense na kisimbuzi cha Azam tv mbona pichabhazina mng"ao ?
Je Azam wana FHD au 480/720P?
Channels za Azam tu ndo HD Tanzania yote wengne wote matapeli

Azam Xtra
Azam one HD
Azam two HD
Sinema zetu
UTV
Azam sports one HD
Azam sports 2 HD
Azam sports 3 HD
Azam sports 4 HD

Zilizobakia zote za bongo na majirani wa East afrika ni za kitapel hakuna HD hata moja
 
inaongozwa na mtu ndezi sana eti nae ni PhD holder
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…