>>>>Anaependa kuoga na Mpenzi wake ajitokeze hapa Mara 1.....

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Wale wanaopenda kuoga na Wapenzi wao wajitokeze hapa tufahamiane...

.....Wengine mkitoka magendo mnanukia Mafuta ambayo hukuyapaka asubuh wakati unaenda...

>.....Wengine Mkirudi kama mlipitia nyumba ndogo huwa wanageuza makufuli yao ndani nje,nje ndani....

Mpenzi wako akikwambia tu dia nilikuwa nakusubili tukaoge MZEE UNAKUWA MBOGO....

Mimi binafsi napenda kuoga na My wifè acha Bhana Maji yamewekewa viungo ooooh...
 
Raha ya bafuni wanaijua wapendanao! Filipo fanya haraka twende zetu tukaoge
 
Last edited by a moderator:
mi huwa inakuwa ni kuogana... wakati namsugua kwa ndani tunajikuta tumepata hapo kimoja cha kistyle kina raha yake tabu muwe mmepiga kimea vinachelewa kutoka....
 
Me na mme wangu 2likuwa tunaoga pamoja, ila siku hizi naona aibu kwenda kuoga naye, sijui kwa nini!!!
 
Kwa hiyo kwake ni revice,alipokuwa mdogo hakuona aibu baada ya kukua mmama ameanza kuona aibu..
Hii kali,inabidi aje atueleze vizuri.

naam, nimekuja, yani ni aibu tu imenijia gafla, sijui imetokea wapi, mzee akiniambia namwambia tu sitaki, nikimwambia naona aibu anaweza kuniambia mbona zamani 2likuwa twaoga wote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom